Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufumbuzi ni Serikali moja tu ya Kidemokrasia ambayo inawajibika kwa Wananchi.Kufunganisha nchi kubwa kama Tanganyika na nchi ndogo kama Zanzibar iliyo sawa na mkoa au wilaya za Tanganyika si sawa wala, muungano wa aina hii haupaswi kuendelezwa.
Rais wa nchi kubwa kama Tanganyika hapaswi kulinganishwa na Rais wa Zanzibar....Ufumbuzi ni Serikali tatu au mikoa yote ya Tanganyika iwe na hadhi sawa na Zanzibar, na kila mkoa uwe na Rais wake au Gouvernor wanaowajibika kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.