Na duniani kote masega yanaibiwa Kama kawa, middle finger to em' ol.Huu ni ushenzi wa kiwango kikubwa sana,watu hawana uoga kabisa aisee.
Sure. Ata ulaya pia. Magari ya Petrol ndio targeted sana.Na duniani kote masega yanaibiwa Kama kawa, middle finger to em' ol.
Sijaona alama yoyote, huenda ni shida nyingine.Picha picha kwa chini (exhaust system) utaona imechomelewa maana lazima wakate kwanza waibe ndio wachomelee.
Shida nyingine iyo. Gari gani?Sijaona alama yoyote, huenda ni shida nyingine.
Ni gari gani mkuu?Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea.
Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika.
Je, kuna namna unaweza kugundua masega yameibiwa kwa kuangalia sehemu iliyokatwa? au kuna namna wanaweza kuyaiba bila kuacha alama yoyote?
Wajuvi karibuni kwa ufafanuzi.
Siyo lazima wakate wachomelee. Wanaweza kuiba bila hata kufanya hivo...Sijaona alama yoyote, huenda ni shida nyingine.
Kabisa mkuu.Sure. Ata ulaya pia. Magari ya Petrol ndio targeted sana.
Duh noma sana aisee.Siyo lazima wakate wachomelee. Wanaweza kuiba bila hata kufanya hivo...
View attachment 2610760
Mfano huyo mteja wangu gari yake ilitolewa masega na haikuchanwa popote pale.
Siku hizi hawakati mkuu wanayachokonoa Hadi yananza kumwagika yenyewe Wame advance katika wizi ni hatari sana.Picha picha kwa chini (exhaust system) utaona imechomelewa maana lazima wakate kwanza waibe ndio wachomelee.
Yaani siku walipofungua Exhaust ndio walijua hawajui. Japo kwa nje ilikuwa haionekani.Duh noma sana aisee.
Duh! mijitu ishakuwa ya hovyo kweli, sasa hii carina yangu kama wameiba masega sidhani kama inaweza kuwa na hiyo oxygen sensor.Siyo lazima wakate wachomelee. Wanaweza kuiba bila hata kufanya hivo...
View attachment 2610760
Mfano huyo mteja wangu gari yake ilitolewa masega na haikuchanwa popote pale.
Vipi, gari imebaki kuwa na nguvu ileile?Mimi mbona niliienda wanitolee mwenyewe Kuna mgurumo nilikua nautaka na nimeipata je nime haribu gari?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mimi naona iko kawaida tu ni Carina t.i ila inaungurumaVipi, gari imebaki kuwa na nguvu ileile?
Ulitaka itoe mlio kama tezza au subaru?Mimi naona iko kawaida tu ni Carina t.i ila inaunguruma
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
HainaDuh! mijitu ishakuwa ya hovyo kweli, sasa hii carina yangu kama wameiba masega sidhani kama inaweza kuwa na hiyo oxygen sensor.