Muuza CD alivyonikosesha tunda!

Muuza CD alivyonikosesha tunda!

Niwe mkwel wewe jamaa umenifurahisha sana.Uzi mzuri japo sijaumaliza ila umenichekesha sanaa.
Hawq jamaa bwana wa kuuza cd barabarqn ni jau sana.2012 Kuna jamaa angu alikua anatafuta series ya NIKITA akanunuaga kwa hao jamaa aisee akanipigia na mim ni je tuchek maana nilikua naikubal sana. E bwana tulichokikuta humo ni noma 😂😋
Ndugu hiyohiyo Nikita nilishaganunua ikagoma epsod ya sita tu zilizobaki zote zikagoma watu wanafikiri hizi mambo hakuna!.
 
Shit is too long so nimeishia hapo za kifalme na mapanga na kutafuta sehemu ulichokuta instead nikadhani ni porn kumbe katuni. Nikaishia hapo.

No offense ila ikatokea naanzisha uhusiano na mwanamke anaangalia seasons za kutafsiriwa huo uhusiano hua ni kwaajili ya mchezo mbaya tu
Unataka wanaoangalia Documentary? Sawa ila ni sisi ndio tuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukikutana na wanaouza cd una angalia unayoitaka unakalili jina unaenda kudownload mwenyewe hii ndio njia ya kuzijua.
Anza na the Witcher na the wheel of time
Ahsante mkuu
 
Nianze kwanza kwa tahadhari sio kwamba nimeachwa la hasha!,isipokuwa ni matatizo tu ya kiufundi ndo yalijitokeza!. Maana humu hamkawii kusema nimepigwa na kitu kizito kichwani!.

Ilikuwa hivi,Jana katika pitapita zangu town mida ya usiku kama saa mbili hivi nilikutana na muuza CD akitembeza ndipo nikakumbuka kuwa manzi yangu aliniambia anapenda kucheki movie za mapigano,haswa zile za mapanga na kifalme.

Nikamsimamisha muuza CD nakuanza kucheki movie alizonazo nikampa na sifa ya movie niliyokuwa nikiitaka,akanichambulia CD Kama tatu hivi ili nichague moja huku akizipamba kinoma mpaka nikahamasika vilivyo nikaichukua moja wapo then nikamlipa nikasepa zangu.

Baada ya kisafari kifupi nikafika stendi nikapanda hiace tayari kurudi gheto,Sasa hapo nikachukua simu nikaanza kumtext mamy lovie.. nikimtaarifu kuwa nimepata movie zile anazozipenda mixer maneno mengi ya kuisifia,hapo lengo langu ni kuwa aje gheto acheki movie nifanye yangu kibaharia.

Bila hiana mtoto alikubali na akiwa mwingi wa furaha akanihakikishia kuwa atafika gheto. Nami sikuchukua muda mrefu nikawa nishashuka kwenye hiace nikashika njia ya gheto ile nakaribia tu namcheki mtoto ameshafika yupo kibalazani na hotpot!. Kwanza akanipokea kwa tabasam kisha akasimama na kunihug huku akitupia tuneno fulani hivi so sweet!.

Baada ya salamu tukazama ndani Kisha nikamuuliza kwenye hot pot kuna nini..?
Alinijibu ni surprise!. Uvumilivu ukataka kunishinda nikataka kuifungua akaniwahi mikono!

Akanichamba kidogo ikabidi niwe mpole!. Nikaona isiwe tabu nikampa CD ila Kwanza nikamkataza asiiweke mpk nimalize kuoga.. nikazama zangu toi nikamuacha akichezea simu yake huku mwili wake wote ukionyesha kujawa na furaha yenye shauku.

Ilinichukua dakika kadhaa nikatoka toi wakati najifuta maji huku tukipiga stori mbili tatu akaniomba buku ili akachukue soda mbili tuje tukae tule huku tukiangalia movie ya mapanga.. nilimpa alivyotoka tu nikaiendea hotpot na kuifungua!.

Jamani hichi kidada ni moja ya wapishi wazuri sijapata kuona!,harufu nzuri ya tambi ilikita puani kwangu mpk njaa ikanipata ghafla! Kucheki pembeni vipande vitatu vya nyama ya kuku iliyokaangwa vilinitazama kwa matamanio nami nikavitazama hivyohivyo!.

Nilifunika harakaharaka baada ya kusikia akifungua mlango,nilijikausha ili asijue nilichofanya lakini harufu nzuri ya tambi ilikuwa imeshatapakaa ghetoni,akajua mkurungwa nilifunua hotpot akanitishia ki matani hapo mixer tumikwara kadhaa!.

Nilikuwa nimevalia taulo,mtoto mzuri baada ya kutenga chakula na soda nikashika CD nakuiweka kisha nikavuta rimoti huku nikiketi karibu yake ili tupate msosi huku tukicheki movie!.

Sasa hapa ndipo balaa lilipoanza!,CD ikaanza kucheki kumbe ni katuni,nikajua labda ni matangazo kupeleka mbele kitu hakibadiliki bado ni mikatuni!.. nikaona huu utani sasa nikapiga next bado ikaja mikatuni!! Hapo nikajua komamanga nimeingizwa cha kike!.

Nikamcheki sweetie nikakuta kavuta mdomo kafura!,Kwanza nikameza mate kabla ya kujitetea!. Nilipotaka kusema kitu tu mtoto akanyanyuka huku akisema "nimezidi utoto!".

Ile anataka kusepa nikamshika mkono nikaanza kujitetea lakini ndo kwanza mtoto akawa anasema "niache!".
Omba sana msamaha toto kapindua! Akaanza kulazimisha kuukaribia mlango hapo nami nikamvuta zaidi kiasi mwili wake wote ukaelekea kwangu,nikamshika kiuno huku nikimtizama machoni.. tupia swaga wee bembeleza wee Toto wapi!.

Nikaona usinitanie nikamvutia kitandani baada ya kuona huyu atasepa bila kunipa!.. kitoto kikaongeza upinzani huku kikisema sitaki niache!.. hapo nikaona liwalo na liwe chenye kuliwa lazima kiliwe!.

Kutokana na ile purukushani kichwa cha chini kikawa kimeshakuja juu hapo nishasahau makosa niliyofanya ya CD nawaza kula kitu kitamu tu!. Nikambana mikono nikaanza kupapasa akawa anajinyonganyonga!.. shika kiuno toto halitaki nikamsogeza vizuri halafu nikamkumbatia kwa nguvu hapo nikamuachia mikono nikamsogezea mwili wangu huku nikimchumu shingoni mara mashavuni akawa anatapatapa!..

Punde nikaona katulia nikajua nimewini Sasa mtoto kakaa sawa kwa kuliwa!,kumbe jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza! Ule utulivu wake kumbe ilikuwa ni hadaa tu ghafla kwa spidi ya ajabu nilisikia kengele zangu zikishikwa na kuminywa!.. haloo nikaachia ukelele mkubwa mpk mwenyewe alishituka akaniachia haraka akatoka nje mkuku!.. nilibaki nikigugumia maumivu hamu sina hasira zangu zote nikazihamishia kwenye tambi zake nilizila Kama mwenda wazimu huku nikimlaani muuza CD kwa kunisababishia tafrani.. ilibidi niifatilie ile katuni nakugundua inaitwa "OSCAR'S OASIS".

Wakuu hata nyie oneni utapeli huu niliotendwa hivi hii ni movie ya mapanga kweli..?
View attachment 2073007


Sema nini wana mtoto bado nachatinae nimempanga kuwa nitamtafutia hizo movie zake za mapanga,ye hana shida ila kagoma kufata hotpot kwa Sasa anahofu!. Yule muuza CD laiti nikimpata meno yake mawili yatakuwa ni halali yangu na nitoe Rai yangu kwa wauza CD wote wanachokifanya wawe makini sana watu tunapigwa na vitu vizito kichwani huku..[emoji51]

Okoeni jahazi kwa kutaja muvi zenye mapanga na ziwe za kifalme sitaki mkosa huyu manzi waungwana.
Nenda nkiri.com zimejaa kibao kwa mb chache tu
 
Back
Top Bottom