Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #81
Kwenye Daladala ulikuwa unasubiria Nini??
Wewe mtu unanyumba ngapi??Ukiunganiasha vanguard na forester unapata gari gani hapo
Mxiuu acha uongooNilikuwa natafyta radha ya daladala
Mxiuu acha uongoo
Wewe mtu unanyumba ngapi??
Chibabu ananyumba 5 Moja ipo mahali siwezi sema ila zingine zipo Tz
Naelewaaa.Af matajiri hawaongei sana hata kidogo