Muuza chapati

Muuza chapati

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa zaid ya sniper unawinda had ex wangu hujui nikikuona nae nitaumia [emoji16][emoji16] kuwa na huruma bna

[emoji23][emoji23][emoji23] ex wa mshikaji mtamu au hujuii
 
Alafu jins mjinga akijua ni mimi nmemkupa atakubali kirahs ili tu niumie [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa ww unaumiaje wakat umpendi 😂😂 na hakuna mchezo unakuwaga mtamu kama demu kaachika theni ukaja kumla gafla dah
 
Back
Top Bottom