Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
We jamaa ni msumbufu sana juzi umenisumbua sana pale wavuvi camp nikununulie bia
Uchawa sio mzuri kazi yako kusifia sifia tuu mara boss,mkuu,mkali,mkurugenz,
Una gar nzur,umependeza acha ujinga wewe
Maeneo ya kazin????labda kazi ya uchawa
Sasa mkurugenzi si uninunulia tajiri