Muuza Madafu: Mimi siyo Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda ninayefananishwa naye

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Your browser is not able to display this video.

Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani.

Your browser is not able to display this video.
Kijana muuza madafu ameujulisha umma kuwa yupo tayari kukutana na afisa usalama ambaye anafaninishwa nae lengo ni kuuaminisha umma wa watanzania kuwa wao ni watu wawili tofauti.

PIA SOMA
- Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

- Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!
 
Katika kuchambua tu maneno ya jamaa na ukimuangalia vizuri waswahili wamesha muelewa
 
Plausible deniability.
 
Tenda ya roboti lake imekamilika tayari. Jamaa atakutana na roboti lake lenye makosa kiasi mithiri ya sanamu ya Nyerere mbele ya kamera mchezo unaisha
 
Ila hao watu ukiwaangalia ukiwa umeshiba unaona kabisa kuna utofauti.
Hata ukiwa na njaa utaona kabisa hawafanani. Pua, midomo ni tofauti kabisa. Ni vile tu wabongo tunaendekeza upuuzi
 
Hivi mnajua deni taifa ni shing ngapi!?? Endeleeni kuwa twisted! Kujadilib ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…