MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!!
ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !!
ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !!