Muuza mihogo anazingua

Muuza mihogo anazingua

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!!

ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !!
 
Vp ww ni wale ng'ombe walio katwa mkia??
 
Siku nyingine uweke note book kwenye mfuko ili utumie kutoa namba za simu.
 
Hehehe!! Toto akikuibukia huna muda wa kuwaza notebook, halafu anaweza akaichana ukimpa karatasi, lakini noti ya 10,000 una uhakika ataipokea bila maswali mengi. Tatizo ni pale ananunua mihogo bila kuangalia nini kimeandikwa kwenye noti.
 
Ingekua Ksh 10,000 ungewaza mara mbili wewe.
 
Upele ulimpata mkunaji, ulimwokotea ela bila kujua nae ana njaa, ona sasa!! Lkn c ungemwambia kuna ujumbe wako kwenye hiyo ela?
Madomo zege mna shida sana.
 
Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!!

ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !!
Hiyo nimeisikia Radio One leo tarehe 27/07 asubuhi kwenye nyepesi nyepesi.
Nafikiri wamei-copy kutoka kwako.
 
Hehehe wapo huku, hukulijua.
Anyway hata mimi nilicopy kutoka Whatsup.
 
hahahahahahahahahaha. . nimecheka had machoz yamenitoka jamani . . jf the best
 
Back
Top Bottom