Siku nyingine uweke note book kwenye mfuko ili utumie kutoa namba za simu.
Ingekua Ksh 10,000 ungewaza mara mbili wewe.Hehehe!! Toto akikuibukia huna muda wa kuwaza notebook, halafu anaweza akaichana ukimpa karatasi, lakini noti ya 10,000 una uhakika ataipokea bila maswali mengi. Tatizo ni pale ananunua mihogo bila kuangalia nini kimeandikwa kwenye noti.
Hiyo nimeisikia Radio One leo tarehe 27/07 asubuhi kwenye nyepesi nyepesi.Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!!
ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !!
Wapo wengi tu.Hehehe wapo huku, hukulijua.
Anyway hata mimi nilicopy kutoka Whatsup.