Muvi mpya ya Diamond na Wema

Muvi mpya ya Diamond na Wema

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
kama tunavyojua juzi 2 hapa ilikua ni birthday ya wema ambapo alikua hong kong but badae bwana mdogo da president himself diamond platnumz akamjoin kutokea malaysia adi hong kong kama birthday suprise huku penny akiwa hana habari yeyote wenzake wakila vitamu ...baada ya picha zao kuvuja eti diamond unasema ni movie yao mpya inayoitwa temptation wakati kipindi kile akianza na penny alisema ni movie pia
zawadi ya cheni ya gold amemnunulia ambayo ni kama yake xo now n saresare maua
picha hizo akinunua cheni...na wakiwa hong kong wakila bata na picha wakiwa wamevaa towel
 
Attachments

  • SC20131010-182910.png
    SC20131010-182910.png
    36.8 KB · Views: 1,255
  • SC20131010-182744.png
    SC20131010-182744.png
    33.2 KB · Views: 1,214
  • SC20131010-182554.png
    SC20131010-182554.png
    26.8 KB · Views: 1,136
  • SC20131010-182524.png
    SC20131010-182524.png
    32.3 KB · Views: 1,121
  • SC20131010-182426.png
    SC20131010-182426.png
    28.5 KB · Views: 1,151
  • SC20131010-182354.png
    SC20131010-182354.png
    27.8 KB · Views: 1,111
  • SC20131010-182337.png
    SC20131010-182337.png
    21.8 KB · Views: 1,112
  • SC20131010-182303.png
    SC20131010-182303.png
    36.9 KB · Views: 1,098
nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.
 
Hahahaha,yule PS yupo naona huu uzi hajauona ila nadhani muda si mrefu atakuja kutoa ufafanunuzi apa lol!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
aje basi manake mi mwenyewe nina hamu sana ya kujua ukweli wa hlo swala
 
nmesikia penny kazimia baada ya kuona hizi picha na amewahishwa hospital xo sijui ni kwel oo,,,wapi heaven on desert ii ni kweli
 
Aiseeee...hata mm nimesikia penny kapelekwa hospital sijui anaumwa nn...kumbe maneno yale ya watu yalikua na ukweli...haya ss penny mwsho wa ubaya aibu
 
Nimeona kwenye facebook page yake amesema hajarudiana na wema, penny namwonea huruma

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.

Inatia raha sana kuona watu wanvyochambua na kujadili vitu ambavyo
nyie pekee ndio mwajua wats goin on.
 
Mjini kupokezana vijiti, anataka ale peke yake yeye nani? wanaume wenyewe wenye vijihela vyao ndio hao hao wachache na wanawake wanaitaka sitara.......bwana weee waacheni wale raha zao
 
Aiseeee...hata mm nimesikia penny kapelekwa hospital sijui anaumwa nn...kumbe maneno yale ya watu yalikua na ukweli...haya ss penny mwsho wa ubaya aibu

Acha kuongea usichokuwa na uhakika nacho
.siku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!
 
nmesikia penny kazimia baada ya kuona hizi picha na amewahishwa hospital xo sijui ni kwel oo,,,wapi heaven on desert ii ni kweli

siku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!
 
siku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!
2takuaminije asa coz najua unasema hivo kumtetea ex shem wako 2 juc kubali now shem wako n wema coz ndiko roho ya diamond ime2lia apo au sio,,, nmesoma bongo 5 now amesema penny amelia siku nzima na kama n muvi utasubir adi miguu iingie 2mbon coz ii n reallty c muvi
 
Nenda kwenye post ya Diamond na Wema warudiana
kuna kithibitisho nimeweka ..
kuhusu hizo blah blah za cjui Peny kalia ..cjui Kapelekwa Hospital
 
Hahahaha,yule PS yupo naona huu uzi hajauona ila nadhani muda si mrefu atakuja kutoa ufafanunuzi apa lol!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.
heaven on desert,,, come here man! answer the case!
 
Nenda kwenye post ya Diamond na Wema warudiana
kuna kithibitisho nimeweka ..
kuhusu hizo blah blah za cjui Peny kalia ..cjui Kapelekwa Hospital
nimepitia uo uzi woote umesema 2 but c kwel juc unamtetea ex shem wako mpe pole mwambie 2nataka afunguke mwenyewe coz kuna blog nmesoma now eti kanywa sumu teh teh polen tena saaana na kina halima kimwana,,esma platnum na badra nyie wooote yamewashuka
 
2takuaminije asa coz najua unasema hivo kumtetea ex shem wako 2 juc kubali now shem wako n wema coz ndiko roho ya diamond ime2lia apo au sio,,, nmesoma bongo 5 now amesema penny amelia siku nzima na kama n muvi utasubir adi miguu iingie 2mbon coz ii n reallty c muvi

Nenda kwenye post ya Diamond na Wema warudiana
kuna kithibitisho nimeweka ..
kuhusu hizo blah blah za cjui Peny kalia ..cjui Kapelekwa Hospital
 
Inatia raha sana kuona watu wanvyochambua na kujadili vitu ambavyo
nyie pekee ndio mwajua wats goin on.

Piga kazi dude achana na wanafki wa kibongo wanapenda kuona unakaa chini ya miti bila kazi kushindana na vivuli...hawapendi kuona mtu anafanya kazi

alafu asilimia kubwa humu wameajiriwa ila kuona mtu mwingine kaajiliwa roho zinawauma kichizi..

ila nikupe ushauri tu,wasiliana na boss wako kabla ya kuwa unamtetea au kupost kitu kinamhusu haswa masuala ya mapenzi inaweza ikamsababishia matatizo kwa namna moja au nyingine nimeona post zako za kumtetea Diamond zimekuwa za hisia kali mpaka mda mwigine unavuka mipaka na kuongelea strategies za kibiashara za boss(kama ni kweli)kitu ambacho si sawa kuwa makini watu wanakupandisha mori ili uropoke tu kesho huwezi jua Diamond atachukuliaje hizi post zako humu...

ni hayo tu!
 
Umesikika mkuu
 
Back
Top Bottom