Nishajaribu mnoo kuirudia, mwisho nikaamua kuifutilia mbali ilikuwa inanijazia nafasi tu.Siku ukiimaliza episode moja basi utadata nakwambia. Mimi nilifika hadi S3 sijaielewa baada ya hapo ilibid nirudie maana kuna vitu vilinipita. The rest is history, hakuna series bomba kama hiyo
Hapa tupo pamoja, hii ndio huwa sitaki hata neno moja linipite😀Kama huna cha kutazama na ubatafuta series basi tazama series hii. Bridgerton
View attachment 2753973
- Rafudhi safi ya British, utampenda Lady Whistledown anavyo narate story zake, rafudhi ya Eloise na Penelope.
- Imeandikwa vyema na story is so intimidating
- Utapata misamiati mipya ya kizungu.
Basi hata got hutatamani neno hata moja likupite.Hapa tupo pamoja, hii ndio huwa sitaki hata neno moja linipite😀
Pole, binafsi mimi series zote zinazotengenezwa na Tyler Perry hua zinanishinda sijui Oval,Sistas,Revange, loving you is wrong na uchafu wote kutoka kwake. Kuanzia jinsi wanavyoigiza, na zilivyoandikwa. Nilikuja kugundua kwanini series zake sizipendiNishajaribu mnoo kuirudia, mwisho nikaamua kuifutilia mbali ilikuwa inanijazia nafasi tu.
Ile ni akili kubwa... Obama hadi alikua anawapigia simu anauliza muendelezo lini, anawaomba wasimuue Jon maana ndio character aliyempenda.inahitaji utulivu wa akili sana afu make sure Subtittle iwepo wakati wa kuangalia[emoji23] unless hamna kitu utaelewa
Torrent DownloadMtu ambaye analink ya kudowload better call Saul s2 to s6 anisaidie
Ile ni akili kubwa... Obama hadi alikua anawapigia simu anauliza muendelezo lini, anawaomba wasimuue Jon maana ndio character aliyempenda.
Naipenda sana GOT kuliko series yoyote ile. Yaani wanajibizana hadi unapenda. Halafu kila character ana jinsi alivyoandikiwa maongezi. View attachment 2753997
Ile ni akili kubwa... Obama hadi alikua anawapigia simu anauliza muendelezo lini, anawaomba wasimuue Jon maana ndio character aliyempenda.
Naipenda sana GOT kuliko series yoyote ile. Yaani wanajibizana hadi unapenda. Halafu kila character ana jinsi alivyoandikiwa maongezi. View attachment 2753997
wapenzi wa GOAT mbinguni mnaenda,inaboa vile mnakomaa nayo tuKwakwelii Mimi navutiwa sana na Arya Stark na Jon Snow na Tyron Lannister[emoji23][emoji23] season niliyoipenda zaidi ni ya 7&8 Na episode nayoipenda kwenye season ya 7 ni pale Dragon queen anaenda kuvamia jeshi la kina kaka ake na Cesi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] aisee naweza rudia ile episode kila mda[emoji119][emoji119][emoji119]
Season ya nane napenda pale Jon anamwambia Danny “My Name My real name is Aegon Targaryen” aisee afu mzee baba White King kashatia tia timu na jeshi lake[emoji119][emoji119][emoji119]
Daenerys akiwa na jeshi la Dorthraki aliwavamia Jaime na Bronn wakiwa wanatoka High Garden. Hiyo episode inaitwa Spoils of War, je wajua spoils of war ni nini??Kwakwelii Mimi navutiwa sana na Arya Stark na Jon Snow na Tyron Lannister[emoji23][emoji23] season niliyoipenda zaidi ni ya 7&8 Na episode nayoipenda kwenye season ya 7 ni pale Dragon queen anaenda kuvamia jeshi la kina kaka ake na Cesi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] aisee naweza rudia ile episode kila mda[emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi zipo episode nyingi napenda ila moja wapo ni pale Daenerys na Jon wanaenda kumuona Serci Kingslanding.Season ya nane napenda pale Jon anamwambia Danny “My Name My real name is Aegon Targaryen” aisee afu mzee baba White King kashatia tia timu na jeshi lake[emoji119][emoji119][emoji119]
Daenerys akiwa na jeshi la Dorthraki aliwavamia Jaime na Bronn wakiwa wanatoka High Garden. Hiyo episode inaitwa Spoils of War, je wajua spoils of war ni nini??
Mimi zipo episode nyingi napenda ila moja wapo ni pale Daenerys na Jon wanaenda kumuona Serci Kingslanding.
Hod inatoka mid 2024. Nimefuta series nyingi zuri ila got imebaki, coz hua naimiss kuna jinsi nikiangalia najikuta nami nipo ndani ya waigizaji.🤣GOT ndo series pekee niloangalia nikamaliza[emoji1787][emoji1787] kwakweli sipendi series hata kidogo ila kwa GOT nilikaa nikawatch mzigo wote mwa mwiii(uzuri nilianza kuangalia wakati zote zimekamilika)
hapa nimekaa nasubiri HOUSE OF DRAGON season ya pili[emoji39][emoji39]
wapenzi wa GOAT mbinguni mnaenda,inaboa vile mnakomaa nayo tu
Game of Thrones waliipenda wachache kisha ikawa trend sababu dunia imejaa wafuata trend ndo maana ikapata wafuasi wengi, ni kama suruali za modo au skin jeans kwa madem zilivyoingia trend miaka fln. Mm ulevi wangu ni movie, naangalia kuanzia movie za ki-asia, kiafrica, kizugu etc.... lakini sijaona chochote cha kushangaza kwenye GOT, Nadhan kati ya watu walioangalia movies nyingi na mm nipo, sababu kila wiki lazima niangalie movie au drama mpyaDah hii GOT mim season 1 tuh ilinishimda.. [emoji28]
Hod inatoka mid 2024. Nimefuta series nyingi zuri ila got imebaki, coz hua naimiss kuna jinsi nikiangalia najikuta nami nipo ndani ya waigizaji.[emoji1787]
Kifo cha Robb kilinifanya nibaki nimeduwaa yani sielewi kabisa wakati nilijua yeye ndio sterling