My Top 5 Tv shows
01. Outlander
02. Hell's Paradise
03. Messiah
04. Better Call Saul
05. You
..... Try them out are worth watching
Sent using Jamii Forums mobile app
wapenzi wa GOAT mbinguni mnaenda,inaboa vile mnakomaa nayo tu
Alikuwa mwanaume au wakike?,kama alifanyiwa ushoga si yakutazama [emoji125][emoji125][emoji125]Outlander niliacha kuiangalia pale starling alipopigwa sana miti halafu wakaweka li scene reeefu la kitendo hicho
Sikuendelea tena
Alikuwa mwanaume au wakike?,kama alifanyiwa ushoga si yakutazama [emoji125][emoji125][emoji125]
Ndio shida ya kufuata trend, wanaangalia tu ili wasipitwe.
Sikatai GOT ni story nzuri na cinematography wamejitahidi ila iko too overrated
Uliona uchawi au ulikuwa unapenda wanavyogonoka?Kuna tofauti kubwa sana kati ya kitu kuwa kizuri na kitu ku trend
Wewe kutoipenda GOT hakuna shida yoyote, kila mtu ana test yake
GOT inaweza isiwe ndio series bora kuliko zote duniani LAKINI huwezi kuondoa ukweli kwamba ni moja ya series bora kabisa duniani kwa kuishusha kwa mgongo wa TREND.
Inastahili mafanikio yake yote
Kama ni ku trend basi imefanya hivyo kwa ubora
Mdogo wangu alikua anaiangalia nikawa naona mauza uza tu nikawa namshangaa unaangaliaje series ya kichawi
Wakati mmoja nilipokua sina cha kuangalia nikaona ngoja niiangalie..... episode ya kwanza ikanishinda nikaona uchawi uchawi nikaacha
Nikaa baada ya mwaka nikakosa cha kuangalia tena nikaona ngoja nikomae kuangalia....... the rest is history
Nakumbuka ilikua season ya 5, niliangalia usiku kucha none stop hadi nikafuta zote
Sijawahi kuangalia series kiasi hicho iasee
Halafu ndio useme trend?
Mmmh hatari sana ,sipendi sana mambo ya kishoga mimi,na ikitokea mambo kama hayo kwenye series yoyote huwa nakosa radha nayoDume
Uliona uchawi au ulikuwa unapenda wanavyogonoka?
Diamond akiimba Nyegezi, mnaandamana anaharibu maadili huku unaashinda kuangalia Porno Series ya GOT.
Hii dunia inaelekea pabaya sana ndiyo maana ushoga, usagaji na takataka zingine zinapigiwa chapua sana ili uonekane wa kawaida.
GOT siyo ya kuangalia
Mmmh hatari sana ,sipendi sana mambo ya kishoga mimi,na ikitokea mambo kama hayo kwenye series yoyote huwa nakosa radha nayo
Unajua athari za kuangalia series zenye maudhui ya porno?Yes I real like sex very much
Nini GOT bana watu tunaangalia hadi Xvideos [emoji23]
Tatizo letu waafrika ni kwamba tunaona sex ni kama kitu cha ajabu sana na tunakipa ukubwa na uoga wa kijinga sana
Sex is just a sex labda useme mambo ya gays
Watu wanashindwa hata kuongea na kuwashauri watoto wao kuhusu sex life kwasababu za kipuuzi kama zako
Sasa hivi series karibu zote zina ushoga ndani..... sipendi lakini wanotengeneza vitu vizuri wanachomekea huo ujinga ndani yake
Akili kichwani mwako
Unajua athari za kuangalia series zenye maudhui ya porno?
Kadri unavyoangalia hizo Porno series hata ushoga na usagaji unaanza kuona ni mambo ya kawaida.
- Series yenyewe unaangalia huku umeshikilia kitufe cha mute kwenye remote
- Unaangalia mafichoni kiasi kwamba ukiona mtoto au mzazi wako unazima au unapeleka mbele ili kuficha scene ya ngono.
Series ikichanganywa na porno basi hiyo ni porno series tu hakuna tofauti na kuangalia porno movies ila hii inakuwa imewekewa stories tu
Single movie au seriesBetter call Saul si ni breaking bad?!!
Niliacha kuangalia viking baada ya kifo cha ragnarAlieandika PRISON BREAK NA BREAKING BAD wana sehemu yao peponi. viking na got ziliisha vibayaa ragner hakutakiwa kufa mapema vile...got wale the walking dead hawakutakiwa kukata moto mapema ilibdi wadumu at least 2 episodes mbili za mwisho ndo wafe