Muvi na series zilizoandikwa vizuri

Muvi na series zilizoandikwa vizuri

My Top 5 Tv shows
01. Outlander
02. Hell's Paradise
03. Messiah
04. Better Call Saul
05. You
..... Try them out are worth watching

Sent using Jamii Forums mobile app

Outlander niliacha kuiangalia pale starling alipopigwa sana miti halafu wakaweka li scene reeefu la kitendo hicho

Sikuendelea tena
 
wapenzi wa GOAT mbinguni mnaenda,inaboa vile mnakomaa nayo tu

Hakika huvijui vitu vizuri mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Jaribu kuiangalia na subtitels, uki catch up na story line nakuhakikishia utakesha usiku kucha kila siku hadi S8 iishe

Ile kitu ilipangwa ikapangika
Siasa, mapenzi, uchawi, visasi, dini, yaani imeshiba kila kitu

Ijaribu kwa kutulia na ondoa mawazo hasi kuhusu GOT
 
Outlander niliacha kuiangalia pale starling alipopigwa sana miti halafu wakaweka li scene reeefu la kitendo hicho

Sikuendelea tena
Alikuwa mwanaume au wakike?,kama alifanyiwa ushoga si yakutazama [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ndio shida ya kufuata trend, wanaangalia tu ili wasipitwe.

Sikatai GOT ni story nzuri na cinematography wamejitahidi ila iko too overrated

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kitu kuwa kizuri na kitu ku trend

Wewe kutoipenda GOT hakuna shida yoyote, kila mtu ana test yake

GOT inaweza isiwe ndio series bora kuliko zote duniani LAKINI huwezi kuondoa ukweli kwamba ni moja ya series bora kabisa duniani kwa kuishusha kwa mgongo wa TREND.
Inastahili mafanikio yake yote

Kama ni ku trend basi imefanya hivyo kwa ubora

Mdogo wangu alikua anaiangalia nikawa naona mauza uza tu nikawa namshangaa unaangaliaje series ya kichawi

Wakati mmoja nilipokua sina cha kuangalia nikaona ngoja niiangalie..... episode ya kwanza ikanishinda nikaona uchawi uchawi nikaacha
Nikaa baada ya mwaka nikakosa cha kuangalia tena nikaona ngoja nikomae kuangalia....... the rest is history
Nakumbuka ilikua season ya 5, niliangalia usiku kucha none stop hadi nikafuta zote
Sijawahi kuangalia series kiasi hicho iasee
Halafu ndio useme trend?
 
Uliona uchawi au ulikuwa unapenda wanavyogonoka?
Diamond akiimba Nyegezi, mnaandamana anaharibu maadili huku unaashinda kuangalia Porno Series ya GOT.
Hii dunia inaelekea pabaya sana ndiyo maana ushoga, usagaji na takataka zingine zinapigiwa chapua sana ili uonekane wa kawaida.
GOT siyo ya kuangalia
 
Yes I real like sex very much
Nini GOT bana watu tunaangalia hadi Xvideos [emoji23]

Tatizo letu waafrika ni kwamba tunaona sex ni kama kitu cha ajabu sana na tunakipa ukubwa na uoga wa kijinga sana
Sex is just a sex labda useme mambo ya gays

Watu wanashindwa hata kuongea na kuwashauri watoto wao kuhusu sex life kwasababu za kipuuzi kama zako

Sasa hivi series karibu zote zina ushoga ndani..... sipendi lakini wanotengeneza vitu vizuri wanachomekea huo ujinga ndani yake
Akili kichwani mwako
 
Mmmh hatari sana ,sipendi sana mambo ya kishoga mimi,na ikitokea mambo kama hayo kwenye series yoyote huwa nakosa radha nayo

Moja ya jambo linanikwaza sana kwenye series za mbele ni mambo ya ushoga
Ni vile tu sina jinsi ningepiga marufuku
 
Yes I real like sex very much
Nini GOT bana watu tunaangalia hadi Xvideos [emoji23]

Tatizo letu waafrika ni kwamba tunaona sex ni kama kitu cha ajabu sana na tunakipa ukubwa na uoga wa kijinga sana
Sex is just a sex labda useme mambo ya gays

Watu wanashindwa hata kuongea na kuwashauri watoto wao kuhusu sex life kwasababu za kipuuzi kama zako

Sasa hivi series karibu zote zina ushoga ndani..... sipendi lakini wanotengeneza vitu vizuri wanachomekea huo ujinga ndani yake
Akili kichwani mwako
Unajua athari za kuangalia series zenye maudhui ya porno?
  • Series yenyewe unaangalia huku umeshikilia kitufe cha mute kwenye remote
  • Unaangalia mafichoni kiasi kwamba ukiona mtoto au mzazi wako unazima au unapeleka mbele ili kuficha scene ya ngono.
Kadri unavyoangalia hizo Porno series hata ushoga na usagaji unaanza kuona ni mambo ya kawaida.
Series ikichanganywa na porno basi hiyo ni porno series tu hakuna tofauti na kuangalia porno movies ila hii inakuwa imewekewa stories tu
 
Hakuna kitu kinaniudhi kwenye series za Hollywood kama mambo ya gays
Ni ngumu mmno kukwepa kuziona kama wewe ni mshabiki wa series/movies za Hollywood..... unless uache kabisa kuangalia

Sasa hivi hadi kwenye football na michezo mingine yameanza kuingizwa kwa lazima
Nchi zinabanwa kuutambua ushoga la sivyo hazipati misaada nk nk ........ HILI NI JANGA LA DUNIA na sio kwenye GOT tu

Kuhusu Porn
Inatakiwa ujiongeze tu, wewe unaona GOT tu lakini kuna hadi music videos au tangazo tu huwezi kuangalia na mzazi au watoto wako sebuleni...... unatafuta namna comfortable unaweza kuangalia bila kubughudhi wengine .
Tunaishi kwenye dunia ambayo unatakiwa kutumia akili zaidi kuchuja mambo tunayo yaona kwasababu ni vigumu sana kuyaepuka...... yapo all over the place
 
Series inapokuwa na maudhui ya ngono inakosa uhuru wa utazamaji kabisa.
 
Alieandika PRISON BREAK NA BREAKING BAD wana sehemu yao peponi. viking na got ziliisha vibayaa ragner hakutakiwa kufa mapema vile...got wale the walking dead hawakutakiwa kukata moto mapema ilibdi wadumu at least 2 episodes mbili za mwisho ndo wafe
 
Niliacha kuangalia viking baada ya kifo cha ragnar
 
Back
Top Bottom