Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mwanzi na muwa na mtete mi ndugu?
Sidhani kama inaweza kuwa na uhusiano. Ukiangalia mtete na muanzi ndani iko hollow (kwa ndani ina uwazi) tofauti na muwa. So mtete na muanzi wanaweza kuwa ndugu wa karibu ila muwa labda ni ndugu kwa mbali sana.Inaezekana kabisa mkuu sababu ziko aina karibia 21000 za hiyo mimea kama sikosei sababu muwa ni jamii ya mimea mbayo ukiikata inaota tena kwa vimelea kama vipo alafu naona kama mianzi na matete ndio hivyo hivyo….
Mbona inasikari. Hakafu muwanzi ukiwa mchanga unakuwa haupo wazu na ndiyo wanayogema ulanzi.Sidhani kama inaweza kuwa na uhusiano. Ukiangalia mtete na muanzi ndani iko hollow (kwa ndani ina uwazi) tofauti na muwa. So mtete na muanzi wanaweza kuwa ndugu wa karibu ila muwa labda ni ndugu kwa mbali sana.
Kweli mkuu ila cha ajabu Muwa ni class moja na hivi vitu, wheat, rice, oat, maize (corn), sorghum, and barley ambazo ni grass family Poaceae, sasa kama matete yapo na mianzi ipo huku basi ni balaa mkuu.Sidhani kama inaweza kuwa na uhusiano. Ukiangalia mtete na muanzi ndani iko hollow (kwa ndani ina uwazi) tofauti na muwa. So mtete na muanzi wanaweza kuwa ndugu wa karibu ila muwa labda ni ndugu kwa mbali sana.
Ila sio tunda wala mbogamboga.nyasi
Muwa ni nyasi pamoja na minazi nayo ni nyasi mzee babaHabari zenu wakuu?
Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu!
Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au
Mua ni tunda mkuu as Horticulture perception. "Fruit is anything eaten fresh at hand" alinifunishaga hivyo Prof Maerere pale SUA miaka hiyo mkuu.Sio chakula wanasemaga ni perennial grass sasa kama perennial grass ni chakula sawa ila sio tunda kabisaaaa
Madta sawa as per horticulture ila muwa sio tunda kabisaaa mkuuuMua ni tunda mkuu as Horticulture perception. "Fruit is anything eaten fresh at hand" alinifunishaga hivyo Prof Maerere pale SUA miaka hiyo mkuu.
Mkuu muwa ni nyasi kubwa iliyojawa na sukari.
Pia sehemu inayoliwa ni Shina, sio mizizi wala majani.
Kulingana na swali lako hapo juu basi nyasi ndio chaguo sahihi.
Kwahiyo muwa ni jamii ya nyasi kubwa(giant grass).
Ila sio tunda wala mbogamboga