Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mwanzi na muwa na mtete mi ndugu?
Sidhani kama inaweza kuwa na uhusiano. Ukiangalia mtete na muanzi ndani iko hollow (kwa ndani ina uwazi) tofauti na muwa. So mtete na muanzi wanaweza kuwa ndugu wa karibu ila muwa labda ni ndugu kwa mbali sana.Inaezekana kabisa mkuu sababu ziko aina karibia 21000 za hiyo mimea kama sikosei sababu muwa ni jamii ya mimea mbayo ukiikata inaota tena kwa vimelea kama vipo alafu naona kama mianzi na matete ndio hivyo hivyo….