Muwasho mrija wa uume na kutoa usaha

Muwasho mrija wa uume na kutoa usaha

Anonymous

Senior Member
Joined
Apr 6, 2006
Posts
118
Reaction score
339
Jamani mwenzenu nimepatwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri (mrija wa uume), jumapili nilitoka kufanya bila kinga, kwa wanaofahamu jaman huu inaweza kuwa ishu gani? Hospitali gan wanaweza kunisaidia kwa gharama nafuu.., tafadhali mnisaidie
 
Hiyo yaweza kuwa UTI nenda Pharmacy mweleze utakayemkuta atakupa vidonge utapona ishanitokea mara mbili nikapona hasa inachangiwa na vyoo tunavyotumia maana mi si mtu wa papuchi kivile
 
gonga augumentin mdogo wangu,,acha kupiga kavu midudu ya kona bar...wenzio tunatoboa maugali maana kule hakuna gono
 
hiyo ni ngoma ndogo antbiotic ina husika hapo iwe vidonge au sindano na uache kuendesha pikipiki bila element
 
Gono hiyo nenda hospitali haraka kabla haijaenda mbali na epuka kuwa mgonjwa na daktari at the same time...
 
Nenda hospitali maana bacteria wametofautiana,ndani ya siku tano unapona.
 
Hiyo yaweza kuwa UTI nenda Pharmacy mweleze utakayemkuta atakupa vidonge utapona ishanitokea mara mbili nikapona hasa inachangiwa na vyoo tunavyotumia maana mi si mtu wa papuchi kivile

Nenda hospitali kwanza.. inabidi afanyiwe uchunguzi kwanza na kisha matibabu sahihi yanafuata
 
Back
Top Bottom