Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oga uzuri, jikaushe vyema na kisha jipake mafuta kwenye hilo eneo tafadhali.Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Aah mkuu sema aziumi sipendi tu harufu ya namna hiiFua Boksa zako zote, Kisha zipige Pasi.
Badili Boksa Asubuhi Jioni kipindi chote cha matibabu, Kila Boksa unayovaa hakikisha imenyooshwa.
Nunua Dawa hizi
Terbinafine cream , pakaa Asubuhi Jioni Kwa wiki mbili.
T.Terbinafine 500mg , meza mara Moja Kila siku usiku Kwa siku 14.
Acha kuvaa boksa na machupi.. piga msuli tu kwa mda flani utakaa powaNaomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Shukran mkuu unaonekana mzoefu haswa mkuuNa hili joto Kamanda bila kutoboa mifuko ya surualii au bukta hutoboi.
Usivae nguo za kubana.
Hakikisha usafi wa eneo husika ni Hi-65.
Usafi wa nguo za ndani.
Usafi wa Taulo.
Hakikisha hewa nyingi inafikia Barracks hasa ukipaka Dawa.
Hakikisha ukavu upo katika Barracks....poda za baridi
Usikune kwa kukwangua ,Tumia kitambaa/ Sponji kugusagusa.
Fungicide yoyote itaokoa wakuu.
SawaKuna mbususu niliichakata hii ndipo nahis tatizo limeanzia hapo mkuu
Miaka 10 iliyopita nilionja machungu nikiwa msituni.S
Shukran mkuu unaonekana mzoefu haswa mkuu
Limao?Ukinyoa oga jikaushe then paka limao utakuwa saaafi