'Muwe makini'

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini.

Akaingizaa kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambiaa wote wafanyee hivyo, na wote wakafanya akawambia "zoezi" la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa makini mmefeli, mimi niliingiza kidole cha kati lakini nikalamba kidole cha pili toka gumba...!!

'Nackia profesa alizikwa kabla ya ile maiti' MUWE MAKINIπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Walimuua au?
 
Mkuu nipo ofisini hapa napiga kazi, lakini kwa huu "MZINGA" wako, ngoja ni-shut down mpaka kesho!
 
Mm huyo prof atakuwa anapenda sana kuzama!! Kwa nini alitesti kwenye yabisi!!si angetesti hata puani tuu!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hhahhahaaa ebana ni noma sana. anyway nimecheka lakini nimejifunza kitu. tuwe makini ,tusiige bila kujua undani wa kitu.katika maisha wengi wanaiga bila kujua wanachoiga. ngoja niende kunch nikawachekeshe watu leo mpaka wapaliwe
 
Bandiko hili linanikumbusha kinachoendelea sasa kuelekea Sept 1:

"Wafuasi na mashabiki wa viongozi wa CHADEMA hawajajitambua kabisa tangu walipopumbazwa kwa kuzungusha mikono wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu".

MUWE MAKINI ametahadhalisha kwa bandiko lake la kisa cha Prof daktari
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…