mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini.
Akaingizaa kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambiaa wote wafanyee hivyo, na wote wakafanya akawambia "zoezi" la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa makini mmefeli, mimi niliingiza kidole cha kati lakini nikalamba kidole cha pili toka gumba...!!
'Nackia profesa alizikwa kabla ya ile maiti' MUWE MAKINI😀😀😀