Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee kali kuliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee kali kuliko
Na wakaipiga dole maiti ya mkubwa waoYah wanafunz walibid wamshughulikiee na alizikwa kabla ile mait kuzikwaa...
ha ha haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini.
Akaingizaa kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambiaa wote wafanyee hivyo, na wote wakafanya akawambia "zoezi" la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa makini mmefeli, mimi niliingiza kidole cha kati lakini nikalamba kidole cha pili toka gumba...!!
'Nackia profesa alizikwa kabla ya ile maiti' MUWE MAKINI😀😀😀