Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Unatumiwa nauli unatoka Dom mpaka Dar halafu unakuja upo period halafu husemi kama upo period. Kwanini usisubiri period iishe ndiyo uombe nauli uje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alpha team do you copy! I repeat Man Down.Man down
😂😂😂😂😂Sasa dharau ziko wapi hapo, labda imeanza wakati yupo njian😃
Huyu sio baharia sie wengine tunakulaga na mchuzi hivyohivyo tushasema kikubwa uhai!Hapo hamna dharau hata, nikajua ametuma nauli imeliwa.
Huyo dada itakuwa P imemuanza njiani, ingeanza before safari nauli ingeliwa 🤣🤣
KhaaaaaaHuyu sio baharia sie wengine tunakulaga na mchuzi hivyohivyo tushasema kikubwa uhai!
Yote kheriKhaaaaaa
Nyieeeee
Mtaja kufa vibayaaa 🤣🤣🤣
Bidada angekula nauli akasema P imeanza napo angekuja kulalamika hukuHapo hamna dharau hata, nikajua ametuma nauli imeliwa.
Huyo dada itakuwa P imemuanza njiani, ingeanza before safari nauli ingeliwa 🤣🤣
😂😂😂😂umetumwa!!!?ushamliza ndugu yangu..😂
Nimetumwa na mweka mada😂😂😂😂umetumwa!!!?
Hahahhahh dharau ziko wapi sasa hapo?Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu