Muwe mnaleta matokeo ya biashara tunazowashauri hapa JF.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kuna jambo halijakaa vizuri, uwa naona umu watu wakiuliza maswali mbalimbali ili waanze biashara.

Na uwa ushauri unatolewa kwa watu wanaouliza lakini sijaona watu wakirudi na matokeo kama kweli wameanzisha hizo biashara .

Nashindwa kuelewa sababu mtu akiwa ameanzisha biashara kutokana na ushauri hapa, akirudi kutueleza alipofikia atapata ushauri zaidi kujua namna ya kuepuka changamoto zinazojitokeza.

Lakin watu hawasemi kama walianza biashara au la, hii inakuwa inavunja moyo kiasi fulani kwa watu wanaoshauri sababu wanaoshauriwa hawaelezi walipofikia.

Kama nitakuwa nimekosea samahan ila naona kuna mambo hayaendi sawa kwenye jukwaa ili hasa ili la ukosefu wa feedback.
 
Mkuu uko sawa kabisa, ila hutakiwi kuvunjika moyo huenda wako busy na kazi kiasi hawaingii tena Jf kama zamani walipokuwa hawana biashara. Hata hivyo huu ushauri unasomwa na watu wengi sana ambao wengine wanafaidika kimya kimya na kupunguza tatizo la umasikini hata km hatujui
 
Jambo hili nakumbuka niliwahi kuliongelea Unapopata ushauri ukishaufanyia kz Mrejesho ni muhimu hata km hukufanikiwa kutokana na maelezo uliyopata Waliokushauri watajua wapi ulikosea hadi ukakwama na km umefanikiwa utainua ARI ya wengine,,! Mkuu MONEY STUNNA niliomba mawacliano yako kwa PM km hutajali nitupie huko!
 
stunna with all due respects, ungesema tuwe sio muwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…