Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kuna jambo halijakaa vizuri, uwa naona umu watu wakiuliza maswali mbalimbali ili waanze biashara.
Na uwa ushauri unatolewa kwa watu wanaouliza lakini sijaona watu wakirudi na matokeo kama kweli wameanzisha hizo biashara .
Nashindwa kuelewa sababu mtu akiwa ameanzisha biashara kutokana na ushauri hapa, akirudi kutueleza alipofikia atapata ushauri zaidi kujua namna ya kuepuka changamoto zinazojitokeza.
Lakin watu hawasemi kama walianza biashara au la, hii inakuwa inavunja moyo kiasi fulani kwa watu wanaoshauri sababu wanaoshauriwa hawaelezi walipofikia.
Kama nitakuwa nimekosea samahan ila naona kuna mambo hayaendi sawa kwenye jukwaa ili hasa ili la ukosefu wa feedback.