Muwe mnasema jamani;

Muwe mnasema jamani;

Lord K

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
213
Reaction score
37
Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??
 
wanamme wengi ukiwaambia unagusa 'Ego' yao haswa.

Hata kama utamwambia tumia akili nyingi.
 
Sidhani Konnie
Mkiwa mnapendana kila mmoja anatakiwa kuwa wazi kwa mwenzake
Haya mambo ya kuwa kila siku mmoja wenu anaachwa solemba sio mambo kabisa
 
Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??

Umejuaje kama huwa hawaambii?:confused2:
 
Sidhani Konnie
Mkiwa mnapendana kila mmoja anatakiwa kuwa wazi kwa mwenzake
Haya mambo ya kuwa kila siku mmoja wenu anaachwa solemba sio mambo kabisa

Mmmhh laziz wangu mbona mie nikikwambia huwa unanihama chumba?
 
Tatizo ukweli ukisemwa mtu ananuna badala ya kurekebisha mambo,sasa kuepusha hilo inabidi kupretend tu mambo yaendelee....
 
Ndio unasema lakini unajua tu kuwa limemgusa.
Anakuwa kipilitoni kiaina.

Kongosho kweli sometime linadhalilisha kuambiwa kuwa aise pamoja na kazi yako yote uliyofanya hajasikia kama kuna lililofanyika
Yaani ni lazima ujione mtoto

nipo, siku hizi umeadimika tangu @Husynino aondoke?
Kulikoni usije kuwa kile kibabu.
Husynino aliniachia ujumbe kuwa nisimame kwanza kuingia humu mpaka arudi sasa sijui atarudi lini

Mmmhh laziz wangu mbona mie nikikwambia huwa unanihama chumba?

Huwa unasema kwa kuniumbua bana
Ungesema kiustaraabu kuwa laaziz hebu ongeza ujuzi kidogo ningekuelewa
Ila wewe na sauti yako kubwa eti bado sijafika ndo mambo gani bana
 
Huwa unasema kwa kuniumbua bana
Ungesema kiustaraabu kuwa laaziz hebu ongeza ujuzi kidogo ningekuelewa
Ila wewe na sauti yako kubwa eti bado sijafika ndo mambo gani bana

Basi mpenzi sirudii tena,nimejifunza. Nimepata hamu ya kukuona ghafla.....njoo basi honey nakusubiri.
 
Basi mpenzi sirudii tena,nimejifunza. Nimepata hamu ya kukuona ghafla.....njoo basi honey nakusubiri.
Yummy nakuja laaziz nipo kwenye daladala hapa na foleni ya kufa mtu
hapa nimekaa na mtu hapa hiyo harufu utafikiri beberu la kule kijijini
Natamani tuu daladala ifike mwisho wa safari yake
 
anaweza kumwambia indirectly like: hny tangu nikorofishane na yule EX mpuuzi, mapenzi yamekuwa ya kistaarabu sana... natamani ungeongeza utundu kidogo angalau ili niwe nafika mapema...
 
Kama unampenda utamjua. Na ukimjua hakuna sababu za kuulizana maswali. Tatizo wengine mnakuwa busy kutimiza haja zenu afu mkimaliza mnaanza maswali 'umefika?' kufika wapi. If you real know your woman, trust me, you will never ask.
 
He he he he, leo atakunywa sumu huyu.

Ngoja nikubebe mgongoni ukaoge lol

wewe thamani yako ni kuubwa mno
ndo maana ukawa mke
na Kaunga akawa nyumba ndogo tena ex nyumba ndogo now
usimtaje taje akajiona bure
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom