The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
unasoma maandishi nyuma ya ubao au mbele?
He he utajibeba!
nasoma katikati ya nyuma na mbele kwani uongo siku unakatiza?si unaishia kule ferry na yule ODM wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unasoma maandishi nyuma ya ubao au mbele?
He he utajibeba!
Kama unampenda utamjua. Na ukimjua hakuna sababu za kuulizana maswali. Tatizo wengine mnakuwa busy kutimiza haja zenu afu mkimaliza mnaanza maswali 'umefika?' kufika wapi. If you real know your woman, trust me, you will never ask.

He he he he, leo atakunywa sumu huyu.
Ngoja nikubebe mgongoni ukaoge lol
. heri mnapofanya tendo la ndoa tumia mbinu zako za kumsaidia asifike upesi au tumia utundu uwahi kumaliza..........
Kongosho, Nyamaume makini lazima ijue kama imemfikisha mwenzie Kilimani mwake. La sivyo shurti iulize, "sweetie umefika jamani". Kama haifanyi hivyo lazima igongewe tu. lakini nanyi lazima muwe wakweli kama unataka staili mpya, unataka usagwe tu na mumeo/bf unasema tu sio kubaki na kijiba cha roho.wanamme wengi ukiwaambia unagusa 'Ego' yao haswa.
Kongosho, Nyamaume makini lazima ijue kama imemfikisha mwenzie Kilimani mwake. La sivyo shurti iulize, "sweetie umefika jamani". Kama haifanyi hivyo lazima igongewe tu. lakini nanyi lazima muwe wakweli kama unataka staili mpya, unataka usagwe tu na mumeo/bf unasema tu sio kubaki na kijiba cha roho.
Ndimi Bazazi!