Asante mwaya Kongosho,huwa kwetu tunatumia koroboi
Ila sasa niko na Tanesco baada ya kupata PHD
Ke au me?? Sijaridhishwa na hili swali.Tatizo lako unajificha kama popo kwenye mapango, wewe ke au me?
Ke au me?? Sijaridhishwa na hili swali.
Ok honey nimekuelewa.I'm sor my love i didn't mean it.
Kirahisi hivo?Ok honey nimekuelewa.
Hahahaha, wewe ungefanyaje hapo? ungesusa usiku mzima?Kirahisi hivo?
Kirahisi hivo?
ila angalie acje kuchanganywa yeye tu
Hilo jina ni sawa na salamu tukusalimieje tena.
Mkuu hii ni post ya 2012 sjui kama huyu Dada atakuwa bado yupo hai I mean active humu ?Kwannn ulijiita upopo