Muwe mnatusalimia Basi!!!!!!Hata kama hatujapendeza

Muwe mnatusalimia Basi!!!!!!Hata kama hatujapendeza

Tatizo lako unajificha kama popo kwenye mapango, wewe ke au me?

Mimi ni ke kama ilivyo picha unayoiona.na uwa
Navaa vitenge kwa sana kwa hiyo ukimwona
Mama amevaa vitenge kila siku ujue UPOPO
 
Nashukuru kwa wote mliochangia ,na wale walionisalimia nawaambia asateni na marahaba.Sasa najisikia mwanaJF
 
Hilo jina ni sawa na salamu tukusalimieje tena.
 
Notimpya asante kwa kunipenda,wewe ujambo!
 
Back
Top Bottom