Muwekezaji (partner) anatafutwa

Muwekezaji (partner) anatafutwa

Wapendwa natafuta mtu mfanyabiashara mwenye million 10-20 tufanye ubia nae kwenye kiwanda changu cha mifuko, faida ni milioni 2-3 kwa mwezi. Mnaweza kunitafuta kupitia no. 0675226757
Mrejesho

Wana jf asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa kutafuta mwekezaji wa kiwandani kwangu. nimeshapata partner mwenzangu wa kushirikiana nae kwahio mjadala wa hio partnership umefungwa.Ahsanteni sana
 
pole kaka na hongera kunawajuaji humu JM fanya yako nitafurahi kuja kukiona siku mojq
 
Wadau wa JF kwanini mnakuwa so negative huyu bwana kaja na wazo lake dhamira iwe kujenga sio kubeza kubomoa kudhihaki huo sio usitaarabu. Toa mawazo yako, toa hoja zako kwa nia ya kutaka kutafuta ukweli. Mtoa mada anasema mifuko sio yote ni ya category Fulani ndio imekatazwa hakuna mtu aliongezea hapo au kujadili mnaleta dhihaka tu.....Hebu tubadilike tusiwe nchi ya wapayukaji katika kila Nyanja. Watanzania kupayuka payuka, sikiliza jambo tafakari fikiria kama unalijua vizuri kama hujui au huna hakika kaa kimya au jaribu kulifanyia utafiti then ongea kama umepata information lakini sio unakuwa wa haraka kupayuka payuka

Ushauri mzuri sana mkuu. Sijui watu wamekumbwa na nini aisee. Wasiwasi wangu ni kwamba inaweza ifikie point watu waache kuleta ishu za maana humu JF kwa kuhofia kukumbana na negative energies za watu. Kila mtu mjuaji. Daaah!!!
 
Sana mkuu hizi forums tungeweza kuzitumia kwa ajili ya mijadala ya kuleta mabadiriko, kupeana habari, kusaidiana mawazo, kuelimishana hata kutumia njia hii kuieleza serikali yetu mawazo yetu. Sio watu wanaleta utoto na kupayuka, tubadirike tuwe makini Zaidi (serious) mi nina amini Mwafrika akianza kuwa serious na kuheshimu ukweli tutaweza kujitoa kwenye hili janga la kuwa nyuma. Jamani mnaoliona hili tatizo msikae kimya tulikemee, tufungue midomo.
 
Ushauri mzuri sana mkuu. Sijui watu wamekumbwa na nini aisee. Wasiwasi wangu ni kwamba inaweza ifikie point watu waache kuleta ishu za maana humu JF kwa kuhofia kukumbana na negative energies za watu. Kila mtu mjuaji. Daaah!!!
Usemayo ni kweli mkuu, kama mimi I have a very very good project lakini kila nikifikiria kutafuta investors humu napatwa na shauku, Watu wamekua na unegativity sana plus utoto mwingi sana humu ndani tofauti na JF ya miaka ya nyuma, Watanzania tubadirike jamani.
 
Usemayo ni kweli mkuu, kama mimi I have a very very good project lakini kila nikifikiria kutafuta investorsya humu napatwa na shauku, Watu wamekua na unegativity sana plus utoto mwingi sana humu ndani tofauti na JF ya miaka ya nyuma, Watanzania tubadirike jamani.

Yeah, JF ya sasa hivi iko very diluted. Sio think tank kama zamani.

Wewe project yako inahusu nini mkuu? Tunaweza tuvutiwe tuongeze nguvu...
 
Yeah, JF ya sasa hivi iko very diluted. Sio think tank kama zamani.

Wewe project yako inahusu nini mkuu? Tunaweza tuvutiwe tuongeze nguvu...
I will let you know mkuu kuna vitu vidogo vidogo namalizia and mbali na hilo siwezi elezea kwenye hii thread sababu haijabeba idea yangu so nitafungua thread mpya within this week so worry out mkuu nitakujuza.
 
Back
Top Bottom