MUWSA kinara wa tuzo za EWURA kwa mwaka 2023/2024

MUWSA kinara wa tuzo za EWURA kwa mwaka 2023/2024

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanikiwa kushinda Tuzo Mbili zinazotolewa na EWURA kwa mwaka 2023/24

1. Tumeshinda tuzo ya Mamlaka bora nayotoa huduma Bora za majisafi na Usafi wa Mazingira kati ya nyingine 19 zenye wateja zaidi ya 20,000 Nchini [Mamlaka imekuwa Namba 1].

2. Vilevile tumeshinda tuzo ya Mamlaka iliyofanikiwa kufikia kwa ufanisi Malengo iliyojiwekea kwenye mipango yake ikiwemo Business Plan [Mamlaka imekuwa Namba 1]

Tuzo hii zimeandaliwa na EWURA na tumezipokea leo tarehe 19 Machi 2025 Jijini Dar es Salaam.

Tunaahidi kuendelea kufanya kazi kwa weledi, ubunifu na kujituma ili tuendelee kufikia malengo ya Taasisi yetu.
IMG-20250319-WA0028.jpg
IMG-20250319-WA0029.jpg
IMG-20250319-WA0030.jpg

IMG-20250319-WA0033.jpg
IMG-20250319-WA0034.jpg
IMG-20250319-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom