Huyu faya tessi mbona simjui mzee baba?Leo nina mzuka wa kuwaonjesha rhumba tamu la mwanamama Faya Tessi... Wee kamati hii mkuu
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Deki si kupave a way jamani kabla ya cassava kupenyapoDeli bila dyudyuu ndo manini sasa!
Ndo maana akawa anakula vibuti tu
Ila Lissa mzuri yule mama[emoji848]
Ahaaaahaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]Mkuu, mimi ndio nawapenda sana hawa kwa maana hawana stress kama viruka njia wengine wa mjini. Alafu witnessj anaonekana anajua sana kulea vi-ben10 kama mimi
Ndio umjue leo hapa... Mwaka jana kama sijakosea alialikwa kwenye madaraka day kenya. Ukiwa humjui utafikiri ni Mbili.Huyu faya tessi mbona simjui mzee baba?
Doooh, habari nzito sana hiziMichael dudu ilikuwa haifanyi kazi , yy alikuwa anadeal na dekii tu
Mfyuuuuu[emoji57][emoji57]Nikinywa maji nakuonaga kwenye glass
Mambo yetu ya vice versa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]Ahaaaahaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Mkuu sijafika umri wa kulea viben 10 asee nitake radhi[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
Deki bila dyudyuu ndo manini sasa!
Ndo maana akawa anakula vibuti tu
Ila Lissa mzuri yule mama[emoji848]
Kabisa mkuu... Kipaji naye ni mwenda zake sad[emoji19]yule mzee naye huwa yupo vizuri ila huwa hatajwi sana kama kina Franco licha ya kwamba ndiye alikuwa mshindani mkubwa wa Franco
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuuMambo yetu ya vice versa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Bolingo nangai[emoji3059][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuu
Deki si kupave a way jamani kabla ya cassava kupenyapo
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Ya michael inapenyaje sasa, mtihani ulikuwa hapoDeki si kupave a way jamani kabla ya cassava kupenyapo
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Cassava bila michuz muchuzi unaishia kukabwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]kuna wanawake hawataki kabisa kuisikia deki wao wanataka cassava tu
MJ alipitia mengi sana na alikufa na maumivu makali tuYa michael inapenyaje sasa, mtihani ulikuwa hapo
Yule mzee Joe kama ni kweli alimvunja nguvu za kiume kwa kipigo alaaniwe asee
We love our MJ
Sana and I loved the guy beyond extreme!MJ alipitia mengi sana na alikufa na maumivu makali tu
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Ndio unazidi kunijaza wivuSana and I loved that guy beyond extreme!
I wish ningemhug na kumuwhisper " I love u"
Natumai imemfikia.... Kama umemmis sana tuma earphones nzuri then sikiza hii kitu...Sana and I loved that guy beyond extreme!
I wish ningemhug na kumuwhisper " I love u"
Cassava bila michuz muchuzi unaishia kukabwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app