Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Naam
 
Swela ni mamaake?

Huu wimbo wa kusangameni ninao kwenye gari yangu, franco alikuwa anafika balaa
Halafu ni "Kimpa kisanga meni" ...ilicharazwa bass gitaa matata sana humo ndani acha hivyo vionjo vingine... Kilitoka 1983. Ukiwa na spika au earphones nzuri sikiza kwa makini Sec. 7 za mwanzo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu...
 
Wakenya hawajui kabisa music mkuu...
 
Ufafanuzi makini sana huu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…