Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream.
Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production β sio kwa sababu tu ume-trend.
Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza:
π΅ Black Tax β Just B
π΅ Chai ya Saa 10 β Ywaga Tajiri
π΅ Mandela β DJ Callz
π΅ Tekita β Salima Chica
π΅ Gambia β Sona
π΅ Amazulu β Amanda Black
π΅ Tinini β Zuchu ft. H Art Band
Ni wimbo gani wa Africa unaoujua ambao ni classic, una quality kubwa, lakini haujapewa attention inayostahili?
Ashee playlist yako hapa. ππ§
Tuanze kuchimbua muziki mzuri ambao wengi hawaujui.