Muziki unalipa, Davido anunua private Jet yake

Muziki unalipa, Davido anunua private Jet yake

Status
Not open for further replies.
Mkuu hii ndege ni mali ya Kampuni ya Comfort jet service ambayo wamiliki wake wanakaa Togo. Labda useme kakodi tutaelewana. hata hivyo angeinunu wasanii wetu wanavyo penda sifa angekua kashaondoa rangi na nembo ya hiyo kampuni.
Tusubiri Aweke nembo yake au afute iliyopo ndo tujue kainunua.
hawkerxp-comfortjetservices.jpg

attachment.php

Mia

Huyu hapa bonge si ni Rick Ross huyu jamani...huyu hapa huyu ....Davido noma sana aisee!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom