ngoja nimpe miwani maana haoniHaoni huyo... mpe miwani ya macho
bikra hio vipiiii???Sura,bikhra,anajitambua,ana hela na kaajiro wanaume zaidi ya 15,yaani wakikaa kwao wanamuombea maisha marefu ili wapate mshahara
Mid nakapendaga tuuu kiangalia ila kwani MTU mzuri yukojeuzuri wake nini sasa?
Hata ivo wanawake huwa hamsifiani tunawajua saana tuu..Watu wengine kwa kurembesha ni noma mbona huyo feza kessy wa kawaida sana sema rangi
Aisee ngoja ni save na hizo picha niwe namwangali asubui nikiamka.
πππ! Huyu mbona hana tofauti na TV bapa! Mleta mada ameudanganya umma. Atuombe radhi.Kipozeo anapenda waliojaazia huko nyuma.
Huyu nyuma hakujajaa aiseee
Wacha wee! Wewe ni tv bapa au chogo? Kama unachogo, then u have my marriage proposal right away.mimi mzuri huyo dada hagusi na cjapaka makeup
hilo avata ni nyokoWew ni hater wa mbegu fupi eeeh....dj sinyorita
hahahahahahahaahBikra...!!! Nakata gogo hadharani.
chogo la hajaaWacha wee! Wewe ni tv bapa au chogo? Kama unachogo, then u have my marriage proposal right away.
Good. Tafadhali ni inbox No yako nikucheki hewani tukamilishe hii habari.chogo la hajaa
Mkuu wewe unapendaga wa aina gani??
Ametudanganya mchan kweupe aiseeπππ! Huyu mbona hana tofauti na TV bapa! Mleta mada ameudanganya umma. Atuombe radhi.