Muziki ungekuwa uzuri, Feza Kessy angekuwa tajiri, tupa kule Dj Sinyorita

Muziki ungekuwa uzuri, Feza Kessy angekuwa tajiri, tupa kule Dj Sinyorita

Mwanamke mwenzio huoni kuona, acha wanaume wampe sifa zake, sie tutasifia wanaume...
Ila Mimi mwanamke Kama ni mzuri namsifia tu bila kinyongo, feza kessy mzuri sema aliniboaga aloyafanya big brother[emoji17] [emoji57] [emoji57]
 
Uzuri wa mwanamke ni brain yake sura na pozi ni vyakupita tu!
 
Back
Top Bottom