Muziki wa Bongo Fleva umepoteza uhalisia na ladha

Unajua jf kila mtu anajikuta Mastermind,,

Hivi kipi ambacho mpaka leo kimebaki vile vile? Hata salamu tu sio kama tulzokua nazo..saiz dogo unakutana nae anakwambia niaje bro

Kila jambo linaenda na wakati kutokana na mahitaji au mazigira...kasikilize ngoma za south Africa za kina brendaface ,kisha angalia walipo saiz.

Trust me itakuja kipind badae utakuja muzik ,kuna watu watasema zaman bwana ndio wakina diamond waliimba ,sio Hawa vijana wa sasa..

Game imechange mkuu...muzik biashara..ww kaimbe siwema uone kama utatoboa saiz.

Hata mbele, kumbuka ngoma za juzi tu hapo walizo kua wanapiga wakina rozee...zile ngoma saiz hazipo tena

Kumbuka ngoma kama im so hood ya khaled,make it rain ya fat,pop that ya french,amili ya weezy...yani kulkua na ngoma flan na combination flan saiz hakuna...wakina Kendrick, thug,madogo wanapiga mikato mingine kabisaa...ila ndo wapo kwa peak saiz..

So ww ukimis zako old bongoflava ,nipm nikupe link ya telegram ina ngoma za bongo flava zote utaenjoy [emoji2]

Kuna siku joo makini alisema kama umemis ngoma zangu za kitambo basi we nenda kaziskize..ila mim sipo huko tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo ni wanafiki saana mziki mnaouongelea kwamba unauhalisia si ndo huu wanaoufanya barnaba,ibranation nk
lakn uomzk unawalipa nini zaidi yasifa zakipumbavu
xo msiposapot mzk wenye matusi nan atatunga ayo matusi??
NB:mziki nikwaajili yawatu
 
Ukweli Wcb Wameuaribu huu Mziki Wanaigaiga sana na Kucopy, wamekutana na tuvijana tusharobaro na tuslaykwin Vinashabiki
ujinga havijui hata Mziki mzuri,

hata Diamond akiimba, Mama nakunya hapa, huwezi Mama nakunya hapa huwezi., vitashabikia na vitakwambia ngoma kali kinoma jamaa anaupeleka mziki wetu kimataifa, ajengewe sanamu, OVYOO KABISA

Alafu tubishi Ukikachapa makofi kanalalamika bro unanionea wakati unakalimisha miziki mizuri
 
Mi nashindwa kuelewa mleta mada anamaanisha nini? Mleta uzi kaelezea vizuri sana kuwa miziki ya sahv haina uhalisia na ina maisha mafupi akitolea mfano tetema, nk...

Naomba uniambie ni wimbo gani kwa sasahv duniani unaweza kaa muda mrefu na usikuchoshe?

Beyonce mwaka jana kaachia "Lion king album", nadhani tushaisahau

Eminem naye juzijuzi kaachia kitu, sahv kinapotea mdogomdogo,

Justin Bieber wa "Yummy" sio yule wa "Sorry", yummy ishajifia kifo cha mende japo imetoka mwaka huu

Wizkid naye cku hz haeleweki, n bora uendelee kusikiliza Ojueleba and alike

Ukienda South kwa Madiba Kwaito siku hizi haiuzi kama ile ya kitambo na ndo maana unakutana na kina AKA, Nasty C, nk. wakifanya aina nyingine ya mziki na wanauza sana

Tatizo humu wazee mpo wengi mnaojifanya kujua vingi ilihali ni weupe,... Kuna kijana anaitwa Barnaba anaimba ile old bongo flavour, kwanin msimsapoti?

kifupi hili lipo dunia nzima na si Tanzania tu...
 
Unajua jf kila mtu anajikuta Mastermind,,

Hivi kipi ambacho mpaka leo kimebaki vile vile? Hata salamu tu sio kama tulzokua nazo..saiz dogo unakutana nae anakwambia niaje bro

Kila jambo linaenda na wakati kutokana na mahitaji au mazigira...kasikilize ngoma za south Africa za kina brendaface ,kisha angalia walipo saiz.

Trust me itakuja kipind badae utakuja muzik ,kuna watu watasema zaman bwana ndio wakina diamond waliimba ,sio Hawa vijana wa sasa..

Game imechange mkuu...muzik biashara..ww kaimbe siwema uone kama utatoboa saiz.

Hata mbele, kumbuka ngoma za juzi tu hapo walizo kua wanapiga wakina rozee...zile ngoma saiz hazipo tena

Kumbuka ngoma kama im so hood ya khaled,make it rain ya fat,pop that ya french,amili ya weezy...yani kulkua na ngoma flan na combination flan saiz hakuna...wakina Kendrick, thug,madogo wanapiga mikato mingine kabisaa...ila ndo wapo kwa peak saiz..

So ww ukimis zako old bongoflava ,nipm nikupe link ya telegram ina ngoma za bongo flava zote utaenjoy [emoji2]

Kuna siku joo makini alisema kama umemis ngoma zangu za kitambo basi we nenda kaziskize..ila mim sipo huko tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kila mtu kujikuta mastermind na wewe kumuona kila mtu mastermind. Angalia hao wasanii wa mbele uliowataja na mziki wao kiujumla vipi wameacha kufanya mziki wao wakaingiza Uhindi lets say?

Playlist yangu imejaa nyimbo za mbele nyingi tu. Ukiwasikiliza vizuri utagundua kilichoongezeka kwenye muziki wao ni quality ya mziki wao. Sasa niambie usikilize King Kunta ya Kendrick Lamar afu tafuta ngoma yoyote ya Country Boy ya zama hizi uone kama utapata vibe inayokaribiana.

Ulikuwepo wakati kipindi Q chillah anatoa Uhali gani na upo pia kipindi hiki inatoka lets say Dm chick ya Harmonize. Kama una sikio la mziki utagundua kuna ngoma hapo haitakuwa na maisha marefu hapo.
 
Wabongo ni wanafiki saana mziki mnaouongelea kwamba unauhalisia si ndo huu wanaoufanya barnaba,ibranation nk
lakn uomzk unawalipa nini zaidi yasifa zakipumbavu
xo msiposapot mzk wenye matusi nan atatunga ayo matusi??
NB:mziki nikwaajili yawatu
Ndio Soko Linavyotaka. Soko La Matusi.
 
Kuna kila mtu kujikuta mastermind na wewe kumuona kila mtu mastermind. Angalia hao wasanii wa mbele uliowataja na mziki wao kiujumla vipi wameacha kufanya mziki wao wakaingiza Uhindi lets say?

Playlist yangu imejaa nyimbo za mbele nyingi tu. Ukiwasikiliza vizuri utagundua kilichoongezeka kwenye muziki wao ni quality ya mziki wao. Sasa niambie usikilize King Kunta ya Kendrick Lamar afu tafuta ngoma yoyote ya Country Boy ya zama hizi uone kama utapata vibe inayokaribiana.

Ulikuwepo wakati kipindi Q chillah anatoa Uhali gani na upo pia kipindi hiki inatoka lets say Dm chick ya Harmonize. Kama una sikio la mziki utagundua kuna ngoma hapo haitakuwa na maisha marefu hapo.
Sasa mziki waliofanya wakina the game ndio mziki unaofanywa na watoto skuiz?

Ww unataka hadi leo hii wasanii waimbe uhali gani alafu mskilize wazee peke yenu? Com on men...game haiwez baki fixed all the tym...we need some new shit bro

Naskiliza ngoma za mbele kitambo sana..naona kbisa madogo wame transform... nilikwambia ukimis old bongoflava njoo pm nikupe link telegram ukaziskize geto kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mziki umegeuka biashara ndo maana wanaoimba bongo flavor og hawauzi tena...
pia mziki ni dynamic na sio static ndo maana wanaobadilika wanaendana na soko...
 
Muziki wa sasa unakera. Huwezi kuweka kwenye eyephone uko kwenye gari ukamaliza safari bila kichwa kuuma.

Kinachowabeba ni KIKI, DRAMA na PROMO.

Msanii ana ngaoma mbovu ila kwa kuwa yeye ndio mwenye TV na RADIO au ana milikiwa na na TV au RADIO fulani basi ngoma yake mbovu atakuwa anaipiga kila muda ( analazimisha )

Na kibaya zaidi Tanzania kwa sasa tuko kwenye msimu wa muziki mbovu, maana mwenye TV na RADIO pia ndio anamiliki wasanii na ndio promoter muandaa shows.

Kwahiyo atafanyia promo kalii ngoma zake na za wasanii wake hata kama mbovu ilimradi atamtumia kwenye matamasha yake.

Binafsi mimi huwa naweka playlist yangu tu na siyo ya kusikiliza radio.

Hata wasanii wanajua kabisa huwa wanatoa famba ndio maana kabla wimbo haujatoka wanatanguliza KIKI na DRAMA, then wanatoa ki-audio ( Ki-audio chenyewe COLLABO ) kikiambatana na MEDIA TOUR ya nguvu pamoja na PROMO INSTAGRAM.

Video ikitoka wanahamasisha watu wakaone YOUTUBE, wakishapata views 1M tayari ni sherehe.

Baada ya mwezi kimya.
 
Kama nyimbo za kina Baraka de Prince, Mo music eti ndio zilikufanya uone bongo fleva ipo juu na ukaona hao ndo wasanii wa mfano basi nakiri kusema kuwa BADO HUUJUI MUZIKI,,, na una safari ndefu ya kuujua muziki mzuri.

Kamsikilize Q-chillah (hasa katika albamu yake ya kwanza ya Mwana mnyonge), TID wa kipindi kile albamu yake ya Sauti ya dhahabu, Banana Zoro, Prince Dully Sykes, hao ndio wasanii waliokuwa balaa ktk kuleta ladha tamu ya muziki,,, sauti tamu, melodies, lyrics n rhymes.

Nyimbo zao hazikuwa na matusi matusi kama zilivyo sasa na zilitikisa hasa!!
umemsahau bushoke mkuu.
 
siwezi kuzipondea hizi za sasa maana nkilewa pia nazicheza kwa burudani japo sielewi step. ila uko sahihi pia.

mwisho wa siku nyote mko sahihi. ukiwa na stress zako sikiliza hzo za zamani ukiwa na vibe tingisha uno halafu fanya kama unatetema vibe likiwaka zaidi kanyaga halafu sugua mkuu.
 
Kama nyimbo za kina Baraka de Prince, Mo music eti ndio zilikufanya uone bongo fleva ipo juu na ukaona hao ndo wasanii wa mfano basi nakiri kusema kuwa BADO HUUJUI MUZIKI,,, na una safari ndefu ya kuujua muziki mzuri.

Kamsikilize Q-chillah (hasa katika albamu yake ya kwanza ya Mwana mnyonge), TID wa kipindi kile albamu yake ya Sauti ya dhahabu, Banana Zoro, Prince Dully Sykes, hao ndio wasanii waliokuwa balaa ktk kuleta ladha tamu ya muziki,,, sauti tamu, melodies, lyrics n rhymes.

Nyimbo zao hazikuwa na matusi matusi kama zilivyo sasa na zilitikisa hasa!!
Nakazia

Ila umemsahau hussein machozi mzee wa kafia gheto, mb dog mzee wa ratifa, z anto bint kiziwi, spark, juma nature,ferouz stareh hivi vichwa vtakumbukwa forever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha
Muziki wa sasa unakera. Huwezi kuweka kwenye eyephone uko kwenye gari ukamaliza safari bila kichwa kuuma.

Kinachowabeba ni KIKI, DRAMA na PROMO.

Msanii ana ngaoma mbovu ila kwa kuwa yeye ndio mwenye TV na RADIO au ana milikiwa na na TV au RADIO fulani basi ngoma yake mbovu atakuwa anaipiga kila muda ( analazimisha )

Na kibaya zaidi Tanzania kwa sasa tuko kwenye msimu wa muziki mbovu, maana mwenye TV na RADIO pia ndio anamiliki wasanii na ndio promoter muandaa shows.

Kwahiyo atafanyia promo kalii ngoma zake na za wasanii wake hata kama mbovu ilimradi atamtumia kwenye matamasha yake.

Binafsi mimi huwa naweka playlist yangu tu na siyo ya kusikiliza radio.

Hata wasanii wanajua kabisa huwa wanatoa famba ndio maana kabla wimbo haujatoka wanatanguliza KIKI na DRAMA, then wanatoa ki-audio ( Ki-audio chenyewe COLLABO ) kikiambatana na MEDIA TOUR ya nguvu pamoja na PROMO INSTAGRAM.

Video ikitoka wanahamasisha watu wakaone YOUTUBE, wakishapata views 1M tayari ni sherehe.

Baada ya mwezi kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona kitu kinakukera basi ujue hakikuhusu au sio saiz yako..

Mambo yanabadilika sasa hivi huwez kukomaa na jembe la mkono wakati wenzio wanatumia trecta, wenzio wanutumia mbolea na mbegu za kisasa wanavuna pakubwa we unakomaa na mbegu za zamani kukuza utamaduni.. maisha hayakusubir wew komaa na reli ya mkoloni wenye SGR wanakupita ka upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada atakuwa amwanza kusikiliza bongo fleva miaka ya 2015

Back
Top Bottom