mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
utakufa kwa uzembe wa kuimba taradance utunzi ni zero, kinanda ni zero, sauti ni zero sasa ndo waimbaji wa siku hizi kina isha mashauz wanaimba
taarab siku hizi inafanana na danceUnataka kuniambia taarab unaweza kuifananisha na bongo fleva? Bongo fleva kuimba hawajuwi, wao kila kitu wanapikiwa na kupakuliwa na ndiyo maana kuimba live wanachemsha, wao ni computer tu.
Daah enzi za mzee Yusuph ilikuwa hatari aiseeYaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie
Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show
Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda
Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile
Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole
Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu
Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende
Naona tangu kigwangala Atangaze kukusaka kwa udi na uvumba ulipotea ghafla sasa hivi umerudi kivingine umebadili mpk ID yako.Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie
Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show
Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda
Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile
Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole
Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu
Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende
taarab siku hizi inafanana na dance
Huo mziki siupendi natamani hata kesho ufe tuKama utakavyokufa singeli
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie
Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show
Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda
Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile
Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole
Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu
Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende
Wewe ndie wa kulamba mafuta ya " Kondom"..?Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena

cjui hapoKifo cha mende ndo kifo gan?
[emoji13]Wewe ndie wa kulamba mafuta ya " Kondom"..?