Muziki wa Taarabu umekufa kifo cha mende

utakufa kwa uzembe wa kuimba taradance utunzi ni zero, kinanda ni zero, sauti ni zero sasa ndo waimbaji wa siku hizi kina isha mashauz wanaimba

Unataka kuniambia taarab unaweza kuifananisha na bongo fleva? Bongo fleva kuimba hawajuwi, wao kila kitu wanapikiwa na kupakuliwa na ndiyo maana kuimba live wanachemsha, wao ni computer tu.
 
taarab siku hizi inafanana na dance
 
Mleta Uzi maneno ya mistar mitatu ya mwisho yapo vzr tatizo utunzi sauti na na ubunifu ni zero mm nasema ukweli taarab ilianza kufa toka mzee yusuph akiwepo ila Omar kopa alikua ni zaid ya noma alikua anaifufua taarab ambayo ilishaanza kupoteza ubora enz za akina nasma hamis. Na Hadija kopa lakin alionekana ni tishio na walimtanguliza kuhofia kupotezwa na baadae akina kijot. Waliiga saut tu ya yule Kijana lakin walikua n moto Omar alikua sio tu mtunz mahir pia alikua na saut na alikua ni mbunifu kuliko mzee yusuph
Ni Sawa na. Jb au rey angeachana na uigizaji mwaka majuz watu wNgehs n yeye sabab kumbe sababu ni kuwa mbunifu aliyekuwa analeta ushindan hatunae tena
 
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie

Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show

Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda

Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile

Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole

Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu

Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende
Daah enzi za mzee Yusuph ilikuwa hatari aisee

Ukisikia jahazi wanapiga show lazima kiwake lakini sikuhizi miyeyusho tu

Nilitegema mtu kama Amigo. Mohammed Mtu Pori waje kutamba ile mbayaa lakini wapi

Kwanza asilimia kubwa ya nyimbo za jahazi zilikuwa zinatungwa na mzee Yusuph
 
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie

Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show

Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda

Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile

Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole

Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu

Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende
Naona tangu kigwangala Atangaze kukusaka kwa udi na uvumba ulipotea ghafla sasa hivi umerudi kivingine umebadili mpk ID yako.
 
Pengine useme kuwa ni wakati mwengine sasa wa kubadili jina la aina ya taarab ya sasa na sio kusema taarab imekufa.

Taarab imepita katika mabadiliko mengi kutoka kwenye vyombo, utungaji na uwimbaji wake na hata maudhui yake yamebadilika kwa baadhi ya vikundi.

Taarab imepata kujulikana kama morden taarab, taarab asili, rusha roho na sasa ina vionjo vingi va sebene.
 
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie

Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show

Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda

Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna. Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile

Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole

Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa, mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu

Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajabu hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa? Taarab inajifia polepole kifo cha mende

Ck hz ni mwend wa cngeli tu
 
singeli on fire bongo flava yenyew imebaki mkononi mwa watu wawili tu.....
 
Wewe ndie wa kulamba mafuta ya " Kondom"..?
 
Back
Top Bottom