Muziki wa Taarabu umekufa kifo cha mende

Muziki wa Taarabu umekufa kifo cha mende

Dah imefikia hivyo kiingilio maji ya uhai? Au unazungumzia wale wanao copy nyimbo kuziimba ambao sio waimbaji wenyewe? Maana nilimsikia hadija kopa alisema sehemu nyengine kiingilio bia ila watu wanaimba nyimbo zao kama alilalamika
 
Afadhari ife tu tupumzike, muziki gani ule wa kusimangana na kupigana vijembe tu.
 
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena
Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs
Huyu isha mashauzi naye hana jipya baada ya kuimba rhumba na kubuma sasa hivi kageukia umama ntilie
Hivi vibendi vingine vinaimba copy na taradance tu vingi vimeshachoka hoi bin taaban walitegemea wakizindua albam bhas cd au kanda zikiuzwa bhas wanapata pesa pia kupitia show
Sasa hivi nani anunue cd? watu wanaban cd bhana! maflash, memory card, bluetooth, na kudownload imekua habari ya mjini hivyo wanakosa income kwa upande huo
Haya walitegemea show sasa hivi uchumi ni mbaya nimeenda show nyingi za taarab kiingilio ni bia tu au soda
Sitasahau nilikwenda bendi moja kiingilio kilikua maji ya uhai, unaweza kushangaa
Mashabiki wamepungua tangu mzee aondoke ushindani hakuna
Kwenye show wengi ni mashahidi pesa hakuna Dsm hii hawafiki hata watu 40 halafu hapo bendi ina waimbaji 8 wapiga vinanda 4 mwenye bendi, na bado director wa bendi yaani you can cry aki vile
Hali ni tete hata ukipiga bure watu hawaji sijui ni kwanini
Kwahiyo mziki wa taarab unajifia polepole
Mkubwa fela aliitelekeza yamoto band akaanzisha bendi ya taarab inayoitwa YAH TEMEKE MODERN TAARAB alianzisha tu baada ya kusikia mzee ameacha kuimba alidhani hiyo bendi ndo itakuja juu iwe kinara wa,mziki huu lakini wapi sijawah hata kusikia ikizungumziwa hapa jf yaani sasa hivi mambo ni magumu
Tatizo watunzi kazi kutunga mipasho tu na manyimbo ya ajab ala hata hazina ladha ya mziki wa taarab unategemea nani atasapoti kazi zao zilizododa?
Taarab inajifia polepole kifo cha mende

Una akili iliyajaa ganzi ama bado uko katika status ya 'still loading' kichwani. Mwenyewe unasema kwa sasa Dar hakuna hela na hapo hapo unasema hizi bendi za taarab zikipiga watu hawajai sijuwi kwanini, una maana gani wakati unaelewa tatizo ni hela? Mze Yusuf siyo taarab, taarab ni zaidi ya Mze Yusuf kwani yeye alizaliwa aliikuta hiyo taarab. Unaongea kwa hasira kwa kuwa taarab inapendwa na wengi ni sawa na muziki wa dansi isipokuwa kuna watu kama wewe kwa makusudi wanakandamiza vya kwao kutaka umma ushabikie miziki yao mfano fleva, n.k. Hiyo miziki niliyokutajia ndiyo miziki asili ya Tanzania si hii ya computer uipendayo wewe. Unaonekana wewe ni kijana wa 2004 - 2010, umepata smart phone jana tu na hujuwi history ya nchi yako unakuja hapa kukurupa kutaka watu wasupport miziki ya kiNigeria na Marekani ambayo mnaibatiza kuwa yenu, una akili kweli wewe, hivi hauna hata mshipa wa haibu kichwani?
 
Afadhari ife tu tupumzike, muziki gani ule wa kusimangana na kupigana vijembe tu.

Siku zote vitu vya ukweli vinaumiza watu akili....tungo za taarab zinagusa jamii na ndiyo maana ule muziki unapendwa sana na hakuna atakayeweza kuuua hata kwa kuuroga, ni kazi bure tu.
 
Dah imefikia hivyo kiingilio maji ya uhai? Au unazungumzia wale wanao copy nyimbo kuziimba ambao sio waimbaji wenyewe? Maana nilimsikia hadija kopa alisema sehemu nyengine kiingilio bia ila watu wanaimba nyimbo zao kama alilalamika
yeah imefikia hapo mkuu
Hali ni tete
 
Alipata mauza mauza gani yule mtu kuamua kutoka nduki vile kuimba zile nyimbo,,itakuwa jamaa alitokewa na malaika laivu akapewa ukweli akaona isiwe tabu.
hata mie nahisi kuna something behind
 
Una akili iliyajaa ganzi ama bado uko katika status ya 'still loading' kichwani. Mwenyewe unasema kwa sasa Dar hakuna hela na hapo hapo unasema hizi bendi za taarab zikipiga watu hawajai sijuwi kwanini, una maana gani wakati unaelewa tatizo ni hela? Mze Yusuf siyo taarab, taarab ni zaidi ya Mze Yusuf kwani yeye alizaliwa aliikuta hiyo taarab. Unaongea kwa hasira kwa kuwa taarab inapendwa na wengi ni sawa na muziki wa dansi isipokuwa kuna watu kama wewe kwa makusudi wanakandamiza vya kwao kutaka umma ushabikie miziki yao mfano fleva, n.k. Hiyo miziki niliyokutajia ndiyo miziki asili ya Tanzania si hii ya computer uipendayo wewe. Unaonekana wewe ni kijana wa 2004 - 2010, umepata smart phone jana tu na hujuwi history ya nchi yako unakuja hapa kukurupa kutaka watu wasupport miziki ya kiNigeria na Marekani ambayo mnaibatiza kuwa yenu, una akili kweli wewe, hivi hauna hata mshipa wa haibu kichwani?
hahaaa naond povuu kubwa sana mapovu ruksa ila yasiwe ya sabuni ya mkopo
 
Siku zote vitu vya ukweli vinaumiza watu akili....tungo za taarab zinagusa jamii na ndiyo maana ule muziki unapendwa sana na hakuna atakayeweza kuuua hata kwa kuuroga, ni kazi bure tu.
utakufa kwa uzembe wa kuimba taradance utunzi ni zero, kinanda ni zero, sauti ni zero sasa ndo waimbaji wa siku hizi kina isha mashauz wanaimba
 
HIZI BEND KAMA ZIMEKUFA
G5, FUNGA KAZI TAARAB, KINGS TAARAB, 5 STARS KWISHNEY, AL-JAZEERA TAARAB, NA NYINGINE NYINGI
 
Back
Top Bottom