papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,156
- 1,667
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye kibanda cha kukatia ticket kama kuna anayeingia alone umuwahi.
.
Maana ukimpata muda wa blues hakuna kuongea tena, ndio ushakuwa mmiliki. Kukumbatiana kucheza ilikuwa kitu cha thamani sana....yaani full midenda...kupapasa kama kote unaenda mpaka kusikoendeka lol nimekumbuka sana zamani[emoji2957][emoji24][emoji3]
.
Nipe hadithi yako;
[emoji830]︎Ulikuwa unamuanzaje mdada ambaye hukuja nae ili mcheze blues? Maana unaweza kuja nae na akasema anaona aibu au hajawahi au anaogopa au hawezagi........[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji830]︎Wimbo gani ulikuwa unakubamba sana ktk mbambiano?
[emoji830]︎Huko kwenu lipi lilikuwa disco kali?
[emoji830]︎Unaweza kumbuka viwalo vilivyosha miaka hiyo
[emoji830]︎Tuongee, tukumbuke