Muziki wa taratibu katika Mapenzi

Muziki wa taratibu katika Mapenzi

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye kibanda cha kukatia ticket kama kuna anayeingia alone umuwahi.
.
Maana ukimpata muda wa blues hakuna kuongea tena, ndio ushakuwa mmiliki. Kukumbatiana kucheza ilikuwa kitu cha thamani sana....yaani full midenda...kupapasa kama kote unaenda mpaka kusikoendeka lol nimekumbuka sana zamani[emoji2957][emoji24][emoji3]
.
Nipe hadithi yako;

[emoji830]︎Ulikuwa unamuanzaje mdada ambaye hukuja nae ili mcheze blues? Maana unaweza kuja nae na akasema anaona aibu au hajawahi au anaogopa au hawezagi........[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji830]︎Wimbo gani ulikuwa unakubamba sana ktk mbambiano?

[emoji830]︎Huko kwenu lipi lilikuwa disco kali?
[emoji830]︎Unaweza kumbuka viwalo vilivyosha miaka hiyo
[emoji830]︎Tuongee, tukumbuke
.
 
Aise mi ni mjinga sana. Nikiwa form six shule boyz, madem wakatoka pale Dodoma secondary kuja unyamani. Basi bhana nilikikamata kitoto kidogo cha form two, kila kikigeuka ninacho, nikakitemea temea mate mdomoni, kukishika chini kimeloa, rohh Mungu nisamehe.
 
Wengine historia zetu za ajabu sana! Huo muda hatukupata, J3 hadi Ijumaa shule....jmos na jpili shambani!
Likizo zote upo shambani, mbaya zaidi pesa hakuna[emoji134]
 
Kwanza sipendi na kabisaa kwenda disco bila malupo nakumbuka nimewahi kukaa na kuacha kucheza baada ya kuzunguka disco zima halina alie pek ake mlup toka siku hiyo nilikoma kaa kwa. Maan baridi ilikua kali niko alone kila nikichek chenga daah niliumiag siku zile
 
Halafu uzuri wa blues ni mziki wa kila mtu, hata tusiojua kucheza unachezeka. Hautaki mambo mengi.😀
 
Blues la Judy butcher,that night .dory Patton (I will always love you),mzee baba keny roggers nakumbuka far away
 
vibao vya jenerali defao viliniburudisha sana nafsi
 
Back
Top Bottom