Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

Haujui mziki kijana ,watu wanafanya sampling kutoka old schools kwasababu ya ubora wa hizo kazi za zamani.

-Sikiliza

London Beat - Thinkin about you
Queen Latifah - Weekend Luv
2 Pac - Changes
Notoiuos BIG - Big Poppa(Between Sheets - Isley' brothers)
Naught By Nature - Feel Me Flow
50 Cent - PIMP/21 Quents /In Da Club
Mobb Deep -Hell on the earth/Shook Ones
Kufanya sampling hata hii miziki ya kisasa watu wanafanyia. Tena siku hizi vitu vimeongezeka mpaka kuna hii inaitwa cover, msanii anarudia ngoma nzima ya msanii mwingine
 
Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile.

Kwa upande mwingine, wasanii wa kizazi hiki hupewa lawama kwamba nyimbo zao zinatoka, zinatrend kwa muda mfupi, halafu zinachokwa haraka.

Ukiangalia juu juu unaweza kuamini hoja hiyo. Lakini ukituliza akili na kuchambua mazingira ya zamani na ya sasa, utagundua kwamba tatizo si lazima liwe utunzi. Kuna mabadiliko makubwa ya dunia yaliyobadilisha namna muziki unavyotumiwa na kudumu kwenye akili za watu.

1. Ukuaji wa Teknolojia na Mitandao ya Kijamii

Miaka ya 2000 hadi takribani 2010, hakukuwa na TikTok, Instagram, Facebook haikuwa na ushawishi mkubwa kama sasa, na YouTube haikuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa watu wengi.

Njia kuu za kusikiliza muziki zilikuwa:

•Radio
•TV
•CD
•VCD
•Cassette

Ukitaka kusikia wimbo fulani, ulilazimika kuusubiri redioni au kwenye kipindi cha muziki TV.

Matokeo yake ni kwamba nyimbo chache zilikuwa zinapewa nafasi kubwa sana ya kusikika mara kwa mara. Watu walikuwa wanazisikia kila siku kwa miezi au hata miaka.

Leo hii hali ni tofauti kabisa.

Msanii akitoa wimbo saa mbili asubuhi, ifikapo jioni tayari kuna nyimbo nyingine kumi zimeingia sokoni. Kesho kuna challenge mpya TikTok, keshokutwa kuna skendo mpya mtandaoni.

Ushindani wa kupata umakini wa watu umeongezeka mara mia kuliko zamani.

2. Zamani Muziki Ulikuwa Burudani Kuu, Leo Ushindani Ni Mkubwa

Zamani mtu akimaliza kazi au shule, sehemu kubwa ya burudani ilikuwa muziki.

Leo hii mtu huyo huyo anaweza kutumia muda wake kwenye:

•TikTok
•Instagram Reels
•YouTube Shorts
•Netflix
•Gaming
•Podcasts
•Live streams

Hivyo muziki haupiganii nafasi na muziki mwingine pekee, unapigania muda wa mtumiaji dhidi ya mamia ya aina za burudani.

Ndiyo maana hata ukitoa hit kubwa kiasi gani, muda wa watu kuipa attention ni mfupi kuliko zamani.

3. Dunia Imekuwa Kama Kijiji

Zamani tukio kubwa linaweza kuzungumziwa kwa wiki au hata mwezi mzima.

Leo hii taarifa mpya zinaingia kila dakika.

Mfano:

Asubuhi watu wanajadili wimbo mpya.

Mchana kuna mechi kubwa.

Jioni kuna skendo ya msanii.

Kesho kuna challenge mpya TikTok.

Keshokutwa kuna tukio la kimataifa.

Mambo yanabadilika kwa kasi sana.

Hivyo hata wimbo mzuri kiasi gani, muda wake wa kutawala mjadala umepungua sana.

4. Watu Wanasikiliza Muziki Mwingi Kuliko Zamani

Hii inaweza kuonekana ajabu, lakini ni kweli.

Zamani mtu angekuwa na album chache tu anazozijua.

Leo hii mtu ana Spotify, YouTube, Boomplay, Audiomack na Apple Music mkononi.

Anaweza kusikiliza nyimbo 100 mpya ndani ya wiki moja.

Kadri chaguo zinavyoongezeka, ndivyo muda wa kukaa na wimbo mmoja unavyopungua.

Ndiyo maana hata nyimbo kali sana za leo zinaonekana kupita haraka.

5. Hoja Ya Utunzi Pekee Haijitoshelezi

Kama kweli siri ya kudumu kwa muziki ni utunzi pekee, basi hata wasanii wa zamani wanaotoa nyimbo leo zingepaswa kutawala kwa miaka mingi kama ilivyokuwa zamani.

Lakini ukweli ni kwamba hata wao wanapotoa kazi mpya leo, nazo hupitia changamoto zile zile zinazowakuta wasanii wa kizazi hiki.

Baada ya muda mfupi, trend mpya zinaibuka na mjadala unahamia sehemu nyingine.

Hii inaonyesha kuwa mazingira ya dunia yamebadilika kuliko kiwango ambacho watu wengi wanakiri.

6. Ukweli Upo Katikati

Ni kweli baadhi ya nyimbo za zamani zilikuwa na utunzi mzuri sana.

Lakini pia ni kweli kwamba zilinufaika na mazingira yaliyokuwepo wakati huo:

Ushindani mdogo

Njia chache za burudani

Upatikanaji mdogo wa muziki

Umakini mkubwa wa wasikilizaji

Leo hii hata msanii awe na kipaji kikubwa kiasi gani, analazimika kushindana na mamilioni ya content zinazozalishwa kila siku duniani.

Kwa mtazamo wangu, tatizo si kwamba wasanii wa zamani walikuwa bora sana kuliko wa sasa, wala si kwamba wa sasa hawajui kutunga.

Sababu kubwa ni kwamba dunia imebadilika.

Teknolojia, mitandao ya kijamii, wingi wa burudani na kasi ya taarifa vimepunguza muda ambao jambo lolote linaweza kubaki kwenye akili za watu.

Ndiyo maana leo hata hit song kubwa inaweza kutikisa nchi nzima kwa mwezi mmoja, lakini baada ya muda mfupi watu wakahamia kwenye jambo lingine.

Kwa kifupi, issue kubwa si utunzi peke yake; issue ni mazingira ya dunia ya sasa yalivyo.
Ni kweli kabisa mkuu, lakini muziki sio utunzi tu (uandishi), ni pamoja na namna ya uimbaji, mpangilio wa sauti, upigaji wa ala nk

Mimi naamini wimbo wa Omah Lay So So, ni ngoma ambayo hata miaka 15 ijayo inaweza kusikilizika na ikaleta fleva ileile
 
Swali la msingi linabaki palepale, hawa wasanii wa zamani ambao mpaka dasa wanafanya music, mbona kazi zao za siku hizi nazo zinasahaulika haraka tofauti na zamani, unataka nkupe mfano?
So unadhani mtu akitoa wimbo / nyimbo bila PR basi inatosha

Inaweza kuwa inawahi kupotea kwasababu Tayari ameshapoteza nguvu ya ushawishi kwenye soko la Sanaa au uwezo wake wa kufanya promotion ni mdogo pia Utunzi wake au genre ya music alioufanya haipo kwenye market kwa wakati huo sababu huwa nyingi
 
Ni kweli kabisa mkuu, lakini muziki sio utunzi tu (uandishi), ni pamoja na namna ya uimbaji, mpangilio wa sauti, upigaji wa ala nk

Mimi naamini wimbo wa Omah Lay So So, ni ngoma ambayo hata miaka 15 ijayo inaweza kusikilizika na ikaleta fleva ileile
Sasa mkuu swali linakuja, mbona hawa wasanii wa zamani kwa sasa nao wakitoa nyimbo zao nazo hupotea haraka kama za wasanii wa sasa?
 
So unadhani mtu akitoa wimbo / nyimbo bila PR basi inatosha

Inaweza kuwa inawahi kupotea kwasababu Tayari ameshapoteza nguvu ya ushawishi kwenye soko la Sanaa au uwezo wake wa kufanya promotion ni mdogo pia Utunzi wake au genre ya music alioufanya haipo kwenye market kwa wakati huo sababu huwa nyingi
Sidhani kaka, sababu inakua ile ile sahv ulimwengu umetawaliwa na aina nyingi za burudani, hivyo inapelekea watu kupunguza focus na music tofauti na zamani
 
Kuwa na Matoleo mengi haina uhusiano na ubora wa mziki! Labda kama tunazungumzia Bora wa vyombo lakini siyo ubora wa mabeti. Ukweli ni kwamba mziki wa zamani ulikuwa bora sana kwa maudhui! Hebu weka hapo mziki wa Hemedi "Chiriku" Maneti usikilize halafu uje uweke na hizi takataka zenu!
Swali ni moja tuu kwanini hawa wasanii wa zamani siku hizi kazi zao za siku hizi nazo hazidumu?
 
Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile.

Kwa upande mwingine, wasanii wa kizazi hiki hupewa lawama kwamba nyimbo zao zinatoka, zinatrend kwa muda mfupi, halafu zinachokwa haraka.

Ukiangalia juu juu unaweza kuamini hoja hiyo. Lakini ukituliza akili na kuchambua mazingira ya zamani na ya sasa, utagundua kwamba tatizo si lazima liwe utunzi. Kuna mabadiliko makubwa ya dunia yaliyobadilisha namna muziki unavyotumiwa na kudumu kwenye akili za watu.

1. Ukuaji wa Teknolojia na Mitandao ya Kijamii

Miaka ya 2000 hadi takribani 2010, hakukuwa na TikTok, Instagram, Facebook haikuwa na ushawishi mkubwa kama sasa, na YouTube haikuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa watu wengi.

Njia kuu za kusikiliza muziki zilikuwa:

•Radio
•TV
•CD
•VCD
•Cassette

Ukitaka kusikia wimbo fulani, ulilazimika kuusubiri redioni au kwenye kipindi cha muziki TV.

Matokeo yake ni kwamba nyimbo chache zilikuwa zinapewa nafasi kubwa sana ya kusikika mara kwa mara. Watu walikuwa wanazisikia kila siku kwa miezi au hata miaka.

Leo hii hali ni tofauti kabisa.

Msanii akitoa wimbo saa mbili asubuhi, ifikapo jioni tayari kuna nyimbo nyingine kumi zimeingia sokoni. Kesho kuna challenge mpya TikTok, keshokutwa kuna skendo mpya mtandaoni.

Ushindani wa kupata umakini wa watu umeongezeka mara mia kuliko zamani.

2. Zamani Muziki Ulikuwa Burudani Kuu, Leo Ushindani Ni Mkubwa

Zamani mtu akimaliza kazi au shule, sehemu kubwa ya burudani ilikuwa muziki.

Leo hii mtu huyo huyo anaweza kutumia muda wake kwenye:

•TikTok
•Instagram Reels
•YouTube Shorts
•Netflix
•Gaming
•Podcasts
•Live streams

Hivyo muziki haupiganii nafasi na muziki mwingine pekee, unapigania muda wa mtumiaji dhidi ya mamia ya aina za burudani.

Ndiyo maana hata ukitoa hit kubwa kiasi gani, muda wa watu kuipa attention ni mfupi kuliko zamani.

3. Dunia Imekuwa Kama Kijiji

Zamani tukio kubwa linaweza kuzungumziwa kwa wiki au hata mwezi mzima.

Leo hii taarifa mpya zinaingia kila dakika.

Mfano:

Asubuhi watu wanajadili wimbo mpya.

Mchana kuna mechi kubwa.

Jioni kuna skendo ya msanii.

Kesho kuna challenge mpya TikTok.

Keshokutwa kuna tukio la kimataifa.

Mambo yanabadilika kwa kasi sana.

Hivyo hata wimbo mzuri kiasi gani, muda wake wa kutawala mjadala umepungua sana.

4. Watu Wanasikiliza Muziki Mwingi Kuliko Zamani

Hii inaweza kuonekana ajabu, lakini ni kweli.

Zamani mtu angekuwa na album chache tu anazozijua.

Leo hii mtu ana Spotify, YouTube, Boomplay, Audiomack na Apple Music mkononi.

Anaweza kusikiliza nyimbo 100 mpya ndani ya wiki moja.

Kadri chaguo zinavyoongezeka, ndivyo muda wa kukaa na wimbo mmoja unavyopungua.

Ndiyo maana hata nyimbo kali sana za leo zinaonekana kupita haraka.

5. Hoja Ya Utunzi Pekee Haijitoshelezi

Kama kweli siri ya kudumu kwa muziki ni utunzi pekee, basi hata wasanii wa zamani wanaotoa nyimbo leo zingepaswa kutawala kwa miaka mingi kama ilivyokuwa zamani.

Lakini ukweli ni kwamba hata wao wanapotoa kazi mpya leo, nazo hupitia changamoto zile zile zinazowakuta wasanii wa kizazi hiki.

Baada ya muda mfupi, trend mpya zinaibuka na mjadala unahamia sehemu nyingine.

Hii inaonyesha kuwa mazingira ya dunia yamebadilika kuliko kiwango ambacho watu wengi wanakiri.

6. Ukweli Upo Katikati

Ni kweli baadhi ya nyimbo za zamani zilikuwa na utunzi mzuri sana.

Lakini pia ni kweli kwamba zilinufaika na mazingira yaliyokuwepo wakati huo:

Ushindani mdogo

Njia chache za burudani

Upatikanaji mdogo wa muziki

Umakini mkubwa wa wasikilizaji

Leo hii hata msanii awe na kipaji kikubwa kiasi gani, analazimika kushindana na mamilioni ya content zinazozalishwa kila siku duniani.

Kwa mtazamo wangu, tatizo si kwamba wasanii wa zamani walikuwa bora sana kuliko wa sasa, wala si kwamba wa sasa hawajui kutunga.

Sababu kubwa ni kwamba dunia imebadilika.

Teknolojia, mitandao ya kijamii, wingi wa burudani na kasi ya taarifa vimepunguza muda ambao jambo lolote linaweza kubaki kwenye akili za watu.

Ndiyo maana leo hata hit song kubwa inaweza kutikisa nchi nzima kwa mwezi mmoja, lakini baada ya muda mfupi watu wakahamia kwenye jambo lingine.

Kwa kifupi, issue kubwa si utunzi peke yake; issue ni mazingira ya dunia ya sasa yalivyo.

View: https://www.facebook.com/reel/1935421350489181
  • during the historic Live Aid charity concert on July 13, 1985, Phil Collins utilized a supersonic Concorde to perform in both London and Philadelphia on the exact same day. He remains the only artist to have achieved this feat
  • Phil Collins is an undeniable musical force. He achieved the rare milestone of selling over 100 million records. His exceptional legacy spans an Academy Award, eight Grammy Awards, and his induction into the Rock and Roll Hall of Fame
 
Nyimbo za madogo hawa wa jen zii ni makelele tupu na matusi hivi wimbo wa prof j_nikusaidiaje
Au wa kiba macmuga
Au wagosi wa kaya tanga n.k
Ufananishe na mapiano na singeli ya 'naenda kupanda ndege'
 
Wewe ni mtu usiyeujua muziki ukaona uandike kuponda muziki wa zamani. Kuna wengine hapa wanasema upuuzi kuwa ni Nostalgia effect. Kwa mfano wengi tunapenda wimbo I'll be there wa Jackson 5 ila wakati unatoka hatukuwa tumezaliwa. Hata nyimbo za bob marley zinazopendwa hadi kesho zimetoka hatujazaliwa. Ndugu elewa tu kwamba hili tatizo la muziki wa hovyo ni la dunia nzima kwa sasa. Kwa mfano ni wimbo gani wa hiphop leo hii unaweza kushindana na Welcome to Atlanta? Ninachokubali ni kuwa kila zama zina wanamuziki wazuri na wabovu.
 
Swali ni moja tuu kwann hawa wasanii wa zamani siku hizi kazi zao za siku hizi nazo hazidumu?
 
Wewe ni mtu usiyeujua muziki ukaona uandike kuponda muziki wa zamani. Kuna wengine hapa wanasema upuuzi kuwa ni Nostalgia effect. Kwa mfano wengi tunapenda wimbo I'll be there wa Jackson 5 ila wakati unatoka hatukuwa tumezaliwa. Hata nyimbo za bob marley zinazopendwa hadi kesho zimetoka hatujazaliwa. Ndugu elewa tu kwamba hili tatizo la muziki wa hovyo ni la dunia nzima kwa sasa. Kwa mfano ni wimbo gani wa hiphop leo hii unaweza kushindana na Welcome to Atlanta? Ninachokubali ni kuwa kila zama zina wanamuziki wazuri na wabovu.
Swali ni msingi ni kwanini hawa wasanii wa zamani siku hizi kazi zao za siku hizi nazo hazidumu?
 
Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile.

Kwa upande mwingine, wasanii wa kizazi hiki hupewa lawama kwamba nyimbo zao zinatoka, zinatrend kwa muda mfupi, halafu zinachokwa haraka.

Ukiangalia juu juu unaweza kuamini hoja hiyo. Lakini ukituliza akili na kuchambua mazingira ya zamani na ya sasa, utagundua kwamba tatizo si lazima liwe utunzi. Kuna mabadiliko makubwa ya dunia yaliyobadilisha namna muziki unavyotumiwa na kudumu kwenye akili za watu.

1. Ukuaji wa Teknolojia na Mitandao ya Kijamii

Miaka ya 2000 hadi takribani 2010, hakukuwa na TikTok, Instagram, Facebook haikuwa na ushawishi mkubwa kama sasa, na YouTube haikuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa watu wengi.

Njia kuu za kusikiliza muziki zilikuwa:

•Radio
•TV
•CD
•VCD
•Cassette

Ukitaka kusikia wimbo fulani, ulilazimika kuusubiri redioni au kwenye kipindi cha muziki TV.

Matokeo yake ni kwamba nyimbo chache zilikuwa zinapewa nafasi kubwa sana ya kusikika mara kwa mara. Watu walikuwa wanazisikia kila siku kwa miezi au hata miaka.

Leo hii hali ni tofauti kabisa.

Msanii akitoa wimbo saa mbili asubuhi, ifikapo jioni tayari kuna nyimbo nyingine kumi zimeingia sokoni. Kesho kuna challenge mpya TikTok, keshokutwa kuna skendo mpya mtandaoni.

Ushindani wa kupata umakini wa watu umeongezeka mara mia kuliko zamani.

2. Zamani Muziki Ulikuwa Burudani Kuu, Leo Ushindani Ni Mkubwa

Zamani mtu akimaliza kazi au shule, sehemu kubwa ya burudani ilikuwa muziki.

Leo hii mtu huyo huyo anaweza kutumia muda wake kwenye:

•TikTok
•Instagram Reels
•YouTube Shorts
•Netflix
•Gaming
•Podcasts
•Live streams

Hivyo muziki haupiganii nafasi na muziki mwingine pekee, unapigania muda wa mtumiaji dhidi ya mamia ya aina za burudani.

Ndiyo maana hata ukitoa hit kubwa kiasi gani, muda wa watu kuipa attention ni mfupi kuliko zamani.

3. Dunia Imekuwa Kama Kijiji

Zamani tukio kubwa linaweza kuzungumziwa kwa wiki au hata mwezi mzima.

Leo hii taarifa mpya zinaingia kila dakika.

Mfano:

Asubuhi watu wanajadili wimbo mpya.

Mchana kuna mechi kubwa.

Jioni kuna skendo ya msanii.

Kesho kuna challenge mpya TikTok.

Keshokutwa kuna tukio la kimataifa.

Mambo yanabadilika kwa kasi sana.

Hivyo hata wimbo mzuri kiasi gani, muda wake wa kutawala mjadala umepungua sana.

4. Watu Wanasikiliza Muziki Mwingi Kuliko Zamani

Hii inaweza kuonekana ajabu, lakini ni kweli.

Zamani mtu angekuwa na album chache tu anazozijua.

Leo hii mtu ana Spotify, YouTube, Boomplay, Audiomack na Apple Music mkononi.

Anaweza kusikiliza nyimbo 100 mpya ndani ya wiki moja.

Kadri chaguo zinavyoongezeka, ndivyo muda wa kukaa na wimbo mmoja unavyopungua.

Ndiyo maana hata nyimbo kali sana za leo zinaonekana kupita haraka.

5. Hoja Ya Utunzi Pekee Haijitoshelezi

Kama kweli siri ya kudumu kwa muziki ni utunzi pekee, basi hata wasanii wa zamani wanaotoa nyimbo leo zingepaswa kutawala kwa miaka mingi kama ilivyokuwa zamani.

Lakini ukweli ni kwamba hata wao wanapotoa kazi mpya leo, nazo hupitia changamoto zile zile zinazowakuta wasanii wa kizazi hiki.

Baada ya muda mfupi, trend mpya zinaibuka na mjadala unahamia sehemu nyingine.

Hii inaonyesha kuwa mazingira ya dunia yamebadilika kuliko kiwango ambacho watu wengi wanakiri.

6. Ukweli Upo Katikati

Ni kweli baadhi ya nyimbo za zamani zilikuwa na utunzi mzuri sana.

Lakini pia ni kweli kwamba zilinufaika na mazingira yaliyokuwepo wakati huo:

Ushindani mdogo

Njia chache za burudani

Upatikanaji mdogo wa muziki

Umakini mkubwa wa wasikilizaji

Leo hii hata msanii awe na kipaji kikubwa kiasi gani, analazimika kushindana na mamilioni ya content zinazozalishwa kila siku duniani.

Kwa mtazamo wangu, tatizo si kwamba wasanii wa zamani walikuwa bora sana kuliko wa sasa, wala si kwamba wa sasa hawajui kutunga.

Sababu kubwa ni kwamba dunia imebadilika.

Teknolojia, mitandao ya kijamii, wingi wa burudani na kasi ya taarifa vimepunguza muda ambao jambo lolote linaweza kubaki kwenye akili za watu.

Ndiyo maana leo hata hit song kubwa inaweza kutikisa nchi nzima kwa mwezi mmoja, lakini baada ya muda mfupi watu wakahamia kwenye jambo lingine.

Kwa kifupi, issue kubwa si utunzi peke yake; issue ni mazingira ya dunia ya sasa yalivyo.

View: https://youtu.be/ZkJ5QJs5eZM?list=RDZkJ5QJs5eZM
  • Foreigner's iconic power ballad "I Want to Know What Love Is" was officially released in the United States on November 13, 1984
  • The song reached No. 1 on the U.S. Billboard Hot 100 in February 1985 and No. 1 on the UK Singles Chart in January 1985
 
Back
Top Bottom