Ni "White elephant project," JPM alikurupuka kuweka pesa za ummah kwenye kijenga mali, wakati huo huo anajenga daraja la busisi, hiyo meli itatoa wapi mzigo wa kubeba?Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi?
Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana.
Lakini sasa hivi nadhani hii route bado inahudumiwa na MV. Victoria peke yake.
Wenyeji wa Mwanza, Bukoba Musoma hii meli inato huduma huko mliko?
Au inakwenda Jinja na Kisumu?
Mimi nadhani soko la abiria na mizigo lipo.Ni "White elephant project," JPM alikurupuka kuweka pesa za ummah kwenye kijenga mali, wakati huo huo anajenga daraja la busisi, hiyo meli itatoa wapi mzigo wa kubeba?
Hakukurupuka sgr ilikuwa ifike hadi bandarini ipeleke mizigo UG amekufa na maono yake ndio maana unaona alikurupukaNi "White elephant project," JPM alikurupuka kuweka pesa za ummah kwenye kijenga mali, wakati huo huo anajenga daraja la busisi, hiyo meli itatoa wapi mzigo wa kubeba?
Angeanza na SGR na kupima wingi wa huo mzigo wa kupeleka uganda na cost ya usafiri hiyo feasibility study hakuifanya.Hakukurupuka sgr ilikuwa ifike hadi bandarini ipeleke mizigo UG amekufa na maono yake ndio maana unaona alikurupuka
Hapana meri Victoria ina safari tatu kwa wiki j2 j4 na alhamisi ila haijae wala kufika nusu ya abilia mizigo ndo hamna kabisaMimi nadhani soko la abiria na mizigo lipo.
Pamoja na daraa la Busisi kupunguza kwa kiasi gharama za usafiri wa barabara bado usafiri wa maji ni nafuu kuliko barabara.
Meli ya MV Victoria ina safari mbili tu kwa wiki kati ya Mwanza na Bukoba. Hii ni ratiba iliyokuwepo tangu miaka ya 70.
Inatakiwa iwepo meli kila siku
MV Mwanza ni meli ya abiria first and foremost japo tani 400 za mzigo si kidogo.Angeanza na SGR na kupima wingi wa huo mzigo wa kupeleka uganda na cost ya usafiri hiyo feasibility study hakuifanya.
Huko sahihi. Safari tatu kwa wiki sio mbili.Hapana meri Victoria ina safari tatu kwa wiki j2 j4 na alhamisi ila haijae wala kufika nusu ya abilia mizigo ndo hamna kabisa
Ahsante sana kwa taarifa.22 May 2026
CHANGAMOTO KUBWA ZA MV NEW MWANZA ZABAINISHWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=D0L4eKfqi2cHaiwezi kwenda Bukoba kutokana na changamoto za kukosa wateja abiria na mizigo
Kwa route ya Mwanza hadi Port Bell Uganda bado uchanganuzi unafanyika kujua kina cha bandari ya Port Bell, zana za kuhudumia meli kubwa kama MV New Mwanza kama zile za gati, kupakua na kupakia mizigo pia inabidi kuhusisha mamlaka za kidiplomasia kuruhusiwa kufika Port Bell Uganda na Kisumu Kenya