MV TANGA yakarabatiwa kwa TZS1.118 Bilioni

😂😂😂 duh bil 100+ kivuko....wonders shall never end.

Aluta continua.
 
Safi sana
 
Mwandishi wa post hauko vizuri heading 118bn wakati ndani umesema bilioni moja na millioni Mia moja kumi na nane ? Mbona wewe
 
Moderator mrekebishe title upande wa kiasi kilichotumika kukarabati kivuko hicho maana kimepokelea tofauti na unaposoma content ya mada.
Angalau umegundua. Sasa wote walioreply kabla yako wameingia chaka. Sasa ingekuwa ni mtihani hapa tayari kishawalamba.
 
Tarakimu zilizopo kwenye habari na heading havioani.
Ipi ni sahihi?
 
Hongera sana Tanga
 
chini ya Rais Samia,

tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
 
chini ya Rais Samia,

tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
 
Picha
 
chini ya Rais Samia,

tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
habari hizi ziwafikie kwa upana wake
 
Haya ni baadhi ya mambo mazuri ya Rais Samia:


  1. Kufungua Tanzania kimataifa na kuongeza uwekezaji kupitia diplomasia ya kiuchumi.
  2. Kuendeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama SGR, Bwawa la Julius Nyerere na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari.
  3. Kusimamia elimu bila ada na kuongeza miundombinu ya shule, vyuo na ajira za walimu.
  4. Kuboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali, vituo vya afya na kupeleka vifaa tiba vya kisasa.
  5. Kusogeza huduma za maji na nishati vijijini na mijini ili wananchi wapate maisha bora.
  6. Kuimarisha mshikamano wa kitaifa kwa kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kisiasa, kijamii au kidini.
  7. Kusikiliza wananchi kwa karibu na kuwaongoza kwa mtindo wa ushirikishwaji na uwazi.
 
🚮
 
Uhalali wa hiyo bei sasa! unapaswa kuwa kichaa ili kuamini
 
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:


  1. Kuimarisha uchumi wa taifa – Rais Samia amesisitiza uwekezaji, maendeleo ya miundombinu, na uwekaji wa sera zinazosaidia biashara ndogo na kubwa, jambo lililoongeza ajira na pato la Taifa.
  2. Kuboresha huduma za afya – Chini ya uongozi wake, upatikanaji wa huduma za afya umeimarishwa, ikiwa ni pamoja na chanjo kwa watoto na upanuzi wa vituo vya afya vijijini.
  3. Elimu bila vikwazo – Rais Samia amesisitiza elimu bila ada kwa shule za msingi na sekondari, kuhakikisha watoto wote wanapata fursa ya elimu bora bila vikwazo vya kifedha.
  4. Miundombinu makini – Amelenga katika ujenzi wa barabara, reli ya SGR, na bandari mpya kama Bandari ya Bagamoyo, ili kurahisisha usafirishaji na biashara ndani na nje ya nchi.
  5. Kutoa fursa kwa vijana na wanawake – Amekuwa mstari wa mbele katika kuunda ajira, kukuza uwekezaji, na kuhamasisha ushiriki wa wanawake na vijana katika biashara na sekta za kimaendeleo.
 
Watu washajipigia mihela hapo, ngalawa inatengenezwa kwa Bilioni moja na kitu kweli? CCM imeshindwa kusimamia maendeleo ya hii nchi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…