MVAMIZI MWENYE MANUFAA HUYU HAPA....!!! Mkaribisheni.

UGOKO MKAVU

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
202
Reaction score
78
Heshima kwenu Wakuu,

Leo nina furaha sana kwa kuwa mwanachama rasmi wa Jamii Forums, ninaomba ushirikiano wenu wadau.

Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa mdau mkubwa wa mitando mingine ya kijamii lakini hivi karibuni baada ya kupitia baadhi ya mijadala nimejifunza mengi na natumaini nami nitatoa mchango/ushauri wangu inapobidi.

Shukrani nyote.
 
karibu mkuu JF VIA JF RULES.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…