Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Kutokana na tafiti inaonesha kutafuna mbegu za alizeti kunapunguza kasi ya kutokea kwa mvi. Pia upungufu wa madini ya shaba huweza kupelekea hali kama hiyo ya nywele kupoteza rangi.Anahitaji kujua aina ya dawa ya kufanya mvi zisionekane kwa muda.
Umri unaenda swahiba ππ π€
Acha ziwepo tu, hazina madhara yoyote
Hapo lazima vimvi viwepo kwa kweli. Ila ndo mwanzo wa kuwa na busara huo Swahiba. πUmri unaenda swahiba π
Busara zimelala hapa kitambo tu πHapo lazima vimvi viwepo kwa kweli. Ila ndo mwanzo wa kuwa na busara huo Swahiba. π