Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Kutokana na tafiti inaonesha kutafuna mbegu za alizeti kunapunguza kasi ya kutokea kwa mvi. Pia upungufu wa madini ya shaba huweza kupelekea hali kama hiyo ya nywele kupoteza rangi.Anahitaji kujua aina ya dawa ya kufanya mvi zisionekane kwa muda.
Lakini huu ushauri unaleta mantiki kwa maana ya kupunguza kasi nadhani sio kuzipoteza kimiujiza! Kwa hilo suala tuwaachie warembo wenzie wataalamu wa makeup