MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
89bdbe7f861f4984913ccd65205b66e0_358394308_1246084829279462_4739031540606287252_n.jpg


Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! 😀😀😀
Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
 
Kwa hili Kolo mmejitahidi, tusiwe wanafiki mmejipanga kwa kweli na ligi yetu inaendelea kuwa bora. Ngoja tuwasubiri wale wa GSM watakujaje.
Naona mshschukua kombe la wachezaji MVP,hongereni
 
MVP ligi za ndondo
Ligi za ndondo lkn zinauza wachezaji kila msimu kila siku kwenda ulaya.

Wewe na mm NBC yetu tumemuuza Nani Hata kwenda Malawi.

Tumia akili! Fikiria nje ya box. Punguza ushabiki maandazi. Zungumza mpira.
 
Wajinga Kama nyie mnapaswa tuwaelimishe juu ya usajiri na kitakachotokea kwenye field...., Hazard alitoka Blues kwenda Madrid mpaka Sasa hana jipya, Bale alitoka Toth akiwa wa Moto akafika Madrid akawa holaa.
 
Back
Top Bottom