MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

Kwa hili Kolo mmejitahidi, tusiwe wanafiki mmejipanga kwa kweli na ligi yetu inaendelea kuwa bora. Ngoja tuwasubiri wale wa GSM watakujaje.
Naona mshschukua kombe la wachezaji MVP,hongereni
 
MVP ligi za ndondo
Ligi za ndondo lkn zinauza wachezaji kila msimu kila siku kwenda ulaya.

Wewe na mm NBC yetu tumemuuza Nani Hata kwenda Malawi.

Tumia akili! Fikiria nje ya box. Punguza ushabiki maandazi. Zungumza mpira.
 
Wajinga Kama nyie mnapaswa tuwaelimishe juu ya usajiri na kitakachotokea kwenye field...., Hazard alitoka Blues kwenda Madrid mpaka Sasa hana jipya, Bale alitoka Toth akiwa wa Moto akafika Madrid akawa holaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…